Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Kosa lake nini mwenye no yake afanye wepesi nimtumie chochote kitu km kwl anahusika na kifo icho
bonge alikuwa kisiasa zaidi anayetaka kukuua hajitangazi tena huwezi kumdhania kirahisi muache Bonge wawatu..Kauli ya mtoa kauli (kibonge) bado haijafutika na mimi nimelenga humo humo mkuu.
Kwani tatizo wapi yanapo uana yenyewe kwa yenyewe ? Japo Lukuvi alikua mwanasiasa asiye na makuuHabari wanabodi
Hebu msikilize huyu mtu anavyotamka hadharani kumdhuru waziri William Lukuvi. Inabidi akamatwe na kuhojiwa vizuri kwanini aliamua kumuondoa mzee wa watu kwa nguvu bila kufuata utaratibu.
Sitaki kukuchosha sana. Hebu msikilize wewe mwenyewe mkuu.
View attachment 3562907
MAONI YANGU
Awali ya yote napenda kutangaza maslahi kwamba mimi ni mkazi wa jimbo la Isimani na mpigakura wa marehemu Lukuvi.
Huyu kibonge ambaye ana mwili mkubwa kama tembo lakini akili ndogo kama mbegu ya haradali, lazima akamatwe na kufunguliwa mashtaka kwa kusababisha mauaji ya mbunge wetu pendwa.
Asipokamatwa, nitawahamasisha wanaIsimani tuandamane hadi ikulu kudai uchunguzi huru wa kifo cha mbunge wetu. Hatutakubali mbunge wetu afe kikondoo wakati waliotangaza kumstaafisha (kumuua) wapo mtaani wanaendelea kula ugali bila kuguswa.
Kumbe kustaafu ni kufa na kustaafishwa ni kuuawa!Habari wanabodi

Huyo Lukuvi, Mhagama na Ndugai waliapa kufia bungeni, viapo vyao vimetimia.Hapo napo ni tatizo pia mkuu. Lakini kwanza huyu mpuuzi akamatwe na kushikizwa adabu kwa kumstaafisha Lukuvi kinyume cha utaratibu.
Mkuu kumbuka kuna ushahidi wa eye witness na ushahidi wa kimazingira. Huyu jamaa lazima akamatwe ashtakiwe kwa mauaji ya Lukuvi.Kumbe kustaafu ni kufa na kustaafishwa ni kuuawa!
BAKITA wanasemaje kuhusu hiki kiswahili kitarafa?
Itoshe kusema kwamba, mauaji ni kesi kubwa sana nchini mwetu, kwa hiyo unapomtuhumu mtu juu ya jambo hilo ovu kabisa, hakikisha lugha aliyoitumia katika kuwasilisha ujumbe wake ovu, kuwa alitumia lugha halisi.
Lakini hizi kauli za dhahania, haziwezi kumtia mtuhumiwa hatiani hata siku moja.
Ref to: 'kukinukisha' katika kesi ya mh. Lissu ambayo imekuja na tafsiri rasmi isiyofanana na tuhuma zake.
Katika yote uliyoandika, ni hili pekee lililonistua zaidi ya mengine yote.MAONI YANGU
Awali ya yote napenda kutangaza maslahi kwamba mimi ni mkazi wa jimbo la Isimani na mpigakura wa marehemu Lukuvi.
Punguza kuchukulia vitu rahisiAcheni kusumbua watu wandugu heart attack inamtokea mtu yoyote na muda wowote sembuse hiki chuma chakavu?
Mlitaka aishi hadi lini na nani afe badala yake? Kifo ni kifo tu (in mamaduroz voice)
Kifo cha Lukuvi , Ndugai na Jeni kuna changamotoHapo sheria haihusiki mkuu. Hiki nikiswahili cha kawaida tu. Neno nitamuondoa ni sawa na nitamuua. Hiyo ni nahau.
Mkuu kitendo cha mimi kutangaza maslahi (to declare interest) haimaanishi kuwa nina maslahi binafsi bali nataka umma unielewe kuwa naongelea mtu ninayemfahamu (mbunge wangu). Lengo ni kuondoa sintofahamu yoyote inayoweza kujitokeza wakati wa mjadala huu.Katika yote uliyoandika, ni hili pekee lililonistua zaidi ya mengine yote.
Inanipa shida kusema, lakini ni lazima niseme: Tanzania imtegemee nani kama sote tumebaki kuwa watu wa maslahi binafsi mbele? Sitaki kukulaumu wewe kwa nafsi yako mkuu tpaul; naona huu ni mtindo ulioenea mioyoni mwetu waTanzania nyakati hizi.
Bila shaka utakuwa na sababu zako maalum zilizokupa msukumo huo wa kuwa mpiga kura mwaminifu.
Na huyo aliyejitangaza hapo, yeye na Samia hawana tofauti yoyote katika maslahi ya nchi hii.
Lazima wahalifu waadhibiwe sawa na matendo yao mkuu. Mtu hawezi kutishia kumuua mbunge wetu na kweli akamuua halafu tukamuacha salama.
Wewe nae huwelewekiMkuu kitendo cha mimi kutangaza maslahi (to declare interest) haimaanishi kuwa nina maslahi binafsi bali nataka umma unielewe kuwa naongelea mtu ninayemfahamu (mbunge wangu). Lengo ni kuondoa sintofahamu yoyote inayoweza kujitokeza wakati wa mjadala huu.
Naelewa sina uwezo wa kuweka kwa usahihi ninayotaka kuyawasilisha kwako bila ya kukuangushia lawama. Hili lisiwe mjadala hapa, kwa heshima kubwa niliyo nayo kuhusu misimamo yako juu ya maswala ya taifa letu.Mkuu kitendo cha mimi kutangaza maslahi (to declare interest) haimaanishi kuwa nina maslahi binafsi bali nataka umma unielewe kuwa naongelea mtu ninayemfahamu (mbunge wangu). Lengo ni kuondoa sintofahamu yoyote inayoweza kujitokeza wakati wa mjadala huu.
Hii kauli ya "tutamstaafisha kwa nguvu" ya huyu tumbotumbo bonge ina tofauti yoyote na "tutakinukisha kwelikweli" ya Tundu Lissu...?Kwani aliposema ''Tutamstaafisha kwa nguvu'' alimaanisha nguvu zipi?
Kwanini wewe umetafsiri kauli hiyo ni ya kutishia kuua?
Kisheria hapo hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusu tishio la mauaji,
Huyo jamaa hata akihojiwa atatoa tafsiri yake tofauti na ulivyo tafsiri wewe.