Aliyetishia kumuua Lukuvi akamatwe na kuhojiwa

Hata wewe utakufa tu mkuu hiyo ni njia ya wote, ukizaliwa lazima kufa.
Yes. Hata yeye atakufa lakini ukumbuke Lukuvi kauawa mkuu.
 
Mbona Tundu Lissu yupo gerezani kwa maneno ya kisiasa mkuu?
 
Watamsitafisha kwa lazima kupitia sanduku la kura. Maoni yake yaheshimiwe
 
Neno "kumuondoa" ni nahau na tayari wahalifu wametimiza azma yao ovu ya kumuua Lukuvi. Lazima wakamatwe na kufunguliwa mashtaka ya kuua kwa kukusudia. Adhabu kwa muuaji ni kunyongwa hadi kufa; no shorcut.
Hayo maneno ni mimi nimemuwekea mdomoni mkuu? Mbona Tundu Lissu alisema maneno kama hayo na sasa yupo gerezani kwa uhaini? Je, matamshi aliyotamka huyu jamaa yanatofautianaje na uhaini?
Neno "kumuondoa" ni nahau na tayari wahalifu wametimiza azma yao ovu ya kumuua Lukuvi. Lazima wakamatwe na kufunguliwa mashtaka ya kuua kwa kukusudia. Adhabu kwa muuaji ni kunyongwa hadi kufa; no shorcut.
Mnaanza kusingizia watu wengine kwa sababu viongozi wa serikali ya Tanzania huwa hawafi.......Acheni ujinga wenu, acheni upumbavu wenu. Huyo ameumwa moyo mambo yakaharibika.....Angekuwa amepigwa rungu akafa, au amepewa sumu na ikadhihirika ni kweli, hapo tungesema watafutwe watu na wakamatwe. Bado mpo kwenye ujima.
 
Ingawa maneno hu uumba, lakini mtu unakuwa mbunge na waziri kwa muda was miaka 30 huwezi ukakosa changamoto ya magonjwa yasiyoambukizwa kweli? Si rahisi kutowapta wabunge waliohudumu zaidi ya miaka ishirini bila kuwa na changamoto ya kiafya kama kisukari,moyo,nk;kwa sababu lifestyle zinazotokana na kazi hizo
 
Ongezea na kansa ya kibovu na utumbo mpana.
 
Mkuu, Lukuvi amefariki akiwa na miaka 70 tu na kuna watu akina Mkuchika na Makamba wana zaidi ya miaka 80 lakini bado wanadunda. Huyu jamaa "aliyemstaafisha" Lukuvi lazima ashughulikiwe ipasavyo.
 
Mbuzi wa bwana heri amekula mahindi ya bwana heri.....

Ingekuwa maneno hayo yametamkwa na kiongozi wa CDM, basi naye muda huu angekuwa ana kesi ya uhaini pamoja Lissu huko Magereza

Wanasiasa vijana, wajitahidi kuwa makini na uchaguzi wa maneno na kauli zao, tunaishi kwenye Dunia ya kidijitali, maneno yao yanaweza kutumika wakati mwingine kuja kuwaondoa kwenye reli ama kuwamaliza kisiasa
 
Kwani kwa tundulissu wanahangaika na nini?

Yeye nae si alisema maneno tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…