Aliyetishia kumuua Lukuvi akamatwe na kuhojiwa

Umemaliza kila kitu mkuu.
 
Hapo napo ni tatizo pia mkuu. Lakini kwanza huyu mpuuzi akamatwe na kushikizwa adabu kwa kumstaafisha Lukuvi kinyume cha utaratibu.
Mbona kwenye mitandao ya jamii asilimia kubwa ya watu wamefurahi kiasi kwamba huyu jamaa akiomba mchango anaweza kupata mabilioni ya fedha ikiwa kweli ndiye yeye aliyemstaafisha?
 
Mbona kwenye mitandao ya jamii asilimia kubwa ya watu wamefurahi kiasi kwamba huyu jamaa akiomba mchango anaweza kupata mabilioni ya fedha ikiwa kweli ndiye yeye aliyemstaafisha?
Lakini anapaswa kuwa makini. Akijitokeza tu, CCM watamuua. Aendelee tu kuuchuna.
 
Kiswahili kigumu hata kwa waswahili...

Naona kesi unayoilazimisha itafanana na hii anayokabiliana nayo Lissu kwa sababu tu ya kuhangaika na tafsiri za Kiswahili zisizo sahihi...
 
Kauawa na nani? Una ushahidi?
Kauawa na huyo bonge nyanya. Ushahidi upo kwenye video. Hebu rudia kusikiliza video kwa umakini mkuu.
 
ukigoma kistaafu kwa hiyari lazima ustaafishwe kwa lazima,
safi sana

miaka 30 bado umekomaa tu km sio uroho wa madaraka ni nini
 
ukigoma kistaafu kwa hiyari lazima ustaafishwe kwa lazima,
safi sana

miaka 30 bado umekomaa tu km sio uroho wa madaraka ni nini
Na yule bonge nyanya aliyemstaafisha lazima tu deal naye
 
"Kifo ni kifo tu" - Samia Suluhu Hassan.
 
Mbona maelezo yako uliyoandika na maneno yaliyozunguzwa kwenye hiyo video hayaendani kabisa,hakuna mahali alipotaja mambo ya kuua hapo.
Yale maneno yake ni majigambo tu ambayo ni kawaida sana kwenye mambo ya kisiasa wewe mwenzetu umetafsiri kuua.
Ushabiki mwingine hauna faida kabisa.
Ukikurupuka kwenda kumshitaki anakushinda mapema sana kisha baadae anakugeuzia kesi ya kumpotezea muda wake umlipe fidia kuwa makini sana mkuu kwenye vitu kama hivi,hivi vitu sio kama ushabiki wa simba na yanga.
 
Mkuu mbona Tundu Lissu yupo gerezani kwa kosa la "kukinukisha" ambalo limetafsriwa kama "uhaini"? Kama kukinukisha ni uhaini na kumuondoa ni kuua.
 
Mkuu mbona Tundu Lissu yupo gerezani kwa kosa la "kukinukisha" ambalo limetafsriwa kama "uhaini"? Kama kukinukisha ni uhaini na kumuondoa ni kuua.
Kesi ya Tundulisu ni complex na inahusisha mambo mengi ila usinitafsiri vibaya mimi sina ushabiki wa chama chochote huwa naangalia logic tu na kureason haijalishi ni mtu wa chama gani kasema.
 
Kesi ya Tundulisu ni complex na inahusisha mambo mengi ila usinitafsiri vibaya mimi sina ushabiki wa chama chochote huwa naangalia logic tu na kureason haijalishi ni mtu wa chama gani kasema.
Kesi ya Tundu Lissu ina mambo gani complex yaliyo nyuma ya pazia mkuu. Hebu tusanulie japo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…