Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma hoja zangu au umejibu kwa nyege zakoBtron wewe una akili ganzi! Nani alikuambia kuwa uchumi wa kati utafikiwa katika awamu moja!! Kila kiongozi anasogeza na marais wengine wanasogeza zaidi kuliko wengine! Hivyo sifa haiwezi kwenda kwa moja!!
Tulia usikilize wenzako!!!
Uchumi wa kati tumeingia kwa takwimu za WB za kuishia mwaka 2015. Ushahidi Ni kufungwa kwa NGOs zilizokuwa zina deal na poverty alleviation kama Worldwide Concern iliyofunga ofisi mnamo May 2016.Jk alistaafu 2015 na Uchumi wa Kati chini tumeingia 2020 chini ya JPM.Kweli JK ni balaa,anapiga KAZI ata akiwa Mstaafu 😂😂😂
Unajua hawa watu wanatufanya mazezeta aisee ukweli ni kwamba kikwete ndo alifanya Tanzania kuingia uchumi wa kati kwa hoja zifuatazo:
Kwanza kabisa kigezo cha kua uchumi wa kati mdogo unapaswa uwe na Per capita income ambayo ni dola za kimarekani $1036 hadi $4045.
Kwa uchumi wa kati mkubwa unapaswa kuwa na per capita income ambaye ni dola za kimarekani $4046 hadi $12535
Sasa wakati wa kikwete alipambana sana hadi tukakaribia point zote kuwa uchumi wa kati kabisa
Mfano mdogo tu mwaka 2014 per capita income ilikua dola za kimarekani $1030 ambapo ukitazama hapo ilibakia point 6 tu ili kufikia dola $1036 ambazo zinahitajika kuwa uchumi wa kati sasa hapo kwa lugha rahisi ni kikwete ndo alitufikisha uchumi wa kati
Jpm miaka yote mitano hakuweza zaidi ya kuongeza hizo point 6 tu nawaambia mfano jk angekua madarakani hadi 2020 Tanzania ingekua kwenye per capita income ya $2000 hadi $5000 au zaidi ya hapo maana jk alikua anaenda kiutekelezaji wa dira hii ya 2025 ambayo muasisi ni mzee mkapa ambapo alitaka ikifika 2025 Tanzania iwe tumefika $3000 na kuendelea
Pia msisahau vipaumbele vya jk 2010-2015 vilikua ni kuibua fursa za maendeleo tz ambapo pia.
2015-2020 vipaumbele vingekua ni tz ya viwanda ambavyo jpm alituaminisha ni yeye lakini hii ilikua kwenye priority ya Jk na hii sera jpm amefeli vibaya sana.
Pia 2020- 2025 vipaumbele ni kuimarisha tz katika ushindani na katika masoko ambapo ndo tunamuona mama Samia akipambana na atafanikiwa.
Pia tusisahau awamu ya nne na tatu uchumi ulikua hadi 7% lakini toka jpm kaingia uchumi ulidumaa hadi asilimia 4 kwa sababu ya sera zake mbovu.
Anayestahili kupewa sifa ni Jk kwa kutupeleka uchumi wa kati na sio Jpm maana hakuna alichofanya.
Rejea hotuba ya Jk msiba wa Rais Mkapa video[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]kuanzia dk ya 9 hadi mwisho kaeleza[emoji1313][emoji1313]
My take
Mnaoteseka na hizi hoja huu ndo ukweli, na ukweli utabaki kuwa ukweli na lazima usemwe,zama za kupika data, na kudanganya zimepitwa na wakati, mnaopinga leteni ukweli wenu mnaodai sasa.
Leteni hoja zenu zinazothibitisha kwamba jpm ndo alitufikisha uchumi wa kati ukweli ndo huo hakuna kitu kama hicho ashukuriwe Jk na mkapa!
upo sahihi, kikwete kaishusha thamani sana pesa yetu.Aliyetoa dollar toka 950 to 2200 ni hyo Kikwete. Magufuli ameingia dolla ilisimama

Wapuuzi nyieee..mlikuwa mnamnanga jk wakat wake kuwa n dhaifuu..leo mnarudia matapishi yenu..tz kuna wananchi wa ajab kuwah kutokea..ndio mana jk alisema kuongoza watz inahitaj unafiki mwingi..mana watz wengi pia ni wanafik wa kutupwaaaMimi nina amini 100%, JK alifanya kazi kubwa kuujenga uchumi na kuvutia FDI ila huyo mwendazake alikua anafanya juhudi kubwa kukimbiza FDI na kuua private sector. Its an open secret, lets call a spade by its name
Uchumi wa Kati wa WB wakati Njaa ilikuwa imetalamaki Mtaani.Waandikie World Bank waweke rekodi zao sawa.