Aliyetufikisha Uchumi wa Kati ni Kikwete na siyo Magufuli, acheni kudanganya!

Btron wewe una akili ganzi! Nani alikuambia kuwa uchumi wa kati utafikiwa katika awamu moja!! Kila kiongozi anasogeza na marais wengine wanasogeza zaidi kuliko wengine! Hivyo sifa haiwezi kwenda kwa moja.

Tulia usikilize wenzako!!!
 
Btron wewe una akili ganzi! Nani alikuambia kuwa uchumi wa kati utafikiwa katika awamu moja!! Kila kiongozi anasogeza na marais wengine wanasogeza zaidi kuliko wengine! Hivyo sifa haiwezi kwenda kwa moja!!
Tulia usikilize wenzako!!!
Umesoma hoja zangu au umejibu kwa nyege zako
 
Jk alistaafu 2015 na Uchumi wa Kati chini tumeingia 2020 chini ya JPM.Kweli JK ni balaa,anapiga KAZI ata akiwa Mstaafu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Uchumi wa kati tumeingia kwa takwimu za WB za kuishia mwaka 2015. Ushahidi Ni kufungwa kwa NGOs zilizokuwa zina deal na poverty alleviation kama Worldwide Concern iliyofunga ofisi mnamo May 2016.

JK alikuwa siyo mtu wa kupiga debe sana ndiyo maana Watanzania wengi hawajui. Mwendazake yeye alikuwa anapenda MASIFA sana ndiyo maana hata akina Kangi Lugola na Aggrrey Mwanri waliposema yeye ni kama Mungu aliona sawa tu
 
Huna tofauti na mtu ambaye hajui yanayoendelea duniani pamoja na kujitahidi kuaminisha ukichoandika. Kwa wanaojua yanayiendekea duniani tumekuelewa upeo wako.
 
Kikwete hakuwahi kuiingiza nchi katika uchumi wa kati, ila alikaribia. Na yeye alisema wazi kuwa Rais ajaye baada yake ataifikisha nchi katika uchumi wa kati.
 
Udini wako hautakufikisha popote
 
Aliyetoa dollar toka 950 to 2200 ni hyo Kikwete. Magufuli ameingia dolla ilisimama
 
Si ndo karudi ngoja sasa atupaishe zaidi.
 
Pumbavu mkubwa wewe?

Unakumbuka ni lini JPM amewahi kuwa raisi wa nchi hii??

Huna adabu kabisaa
 
Mimi nina amini 100%, JK alifanya kazi kubwa kuujenga uchumi na kuvutia FDI ila huyo mwendazake alikua anafanya juhudi kubwa kukimbiza FDI na kuua private sector. Its an open secret, lets call a spade by its name
Wapuuzi nyieee..mlikuwa mnamnanga jk wakat wake kuwa n dhaifuu..leo mnarudia matapishi yenu..tz kuna wananchi wa ajab kuwah kutokea..ndio mana jk alisema kuongoza watz inahitaj unafiki mwingi..mana watz wengi pia ni wanafik wa kutupwaaa
 

Transforming Agriculture - Realizing the Potential of Agriculture for Inclusive Growth and Poverty Reduction​

13TH TANZANIA ECONOMIC UPDATE, DECEMBER 2019.
Tanzania was again one of the top growth performers in the region. Official GDP figures show that growth remained steady in the first half of the year, driven by higher public investment and by a recovery in exports. Inflation has been low and stable, and the balance of payments is quite sound despite a widening current account deficit. Exports are recovering from last yearโ€™s contraction. The Government's Tanzania Development Vision 2025 and the Five-Year Development Plan (FYDP II) set out ambitious goals for reducing poverty and sustainably industrializing so that the country can achieve middle-income status by 2025. The government recognizes agriculture as central to realizing its objectives of socioeconomic development, which are well-articulated in the Second Agriculture Sector Development Program (ASDP II). Among the goals of ASDP II are to transform agriculture by promoting commercialization, prioritizing high-potential commodity value chains, and mobilizing capital by giving the formal private sector a growing role in agriculture. Because agriculture and related value chains drive two-thirds of all jobsโ€”three-quarters for the poorโ€” the sector is central to creating more and better jobs at scale and significantly reducing poverty.
 

Human Capital: The Real Wealth of Nations​

12TH TANZANIA ECONOMIC UPDATE, JULY 2019.
Investing in human capital is essential for Tanzania. To generate future income and achieve sustainable development, people are the most important asset countries have. Part two of this economic update discusses where Tanzania stands in terms of its investments in human capital for both children and adults. The analysis is part of the World Bank Human Capital Project (HCP), which relies on both the Human Capital Index (HCI) and data on human capital wealth (HCW).
 

Managing Water Wisely - The Urgent Need to Improve Water Resources Management in Tanzania Public​

10TH TANZANIA ECONOMIC UPDATE, NOVEMBER 2017.
The tenth edition of the Tanzania Economic Update covers the state of the economy and includes a near term outlook, with a special focus chapter on one of the most cross-cutting determinants of development outcomes, water resource management. Part One presents a discussion and analysis of Tanzania's recent macroeconomic and fiscal performance, with an updated outlook for the near term. Part Two presents an analysis of Tanzania's management of its water resources, showing that the management of these resources has massive implications for Tanzania's people, its economy and its environment, and that there is an urgent need for improvements.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ