Aliyetufikisha Uchumi wa Kati ni Kikwete na siyo Magufuli, acheni kudanganya!

Unatumia nguvu nyingi sana kutetea hoja yako lakini roho inakusuta na ukweli unayafahamu,ulichobakiza ni roho ya kishetani isiyokuwa na shukrani hata kwa kidogo upatacho,acha mihemuko kunywa maji ya baridi tuliza nafsi yako,hiyo roho mbaya yako si chochote wala si lolote katika dunia hii.
 
Mbona hukuyasema Akiwepo???

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu. Ila kupanda kwa kipato huwa ni mchakato na siyo "on a point event". Mchakato wa kupanda kipato ulianza tangu enzi za awamu ya kwanza hadi awamu hii. Kwa hiyo, kila awamu inamchango wake katika mchakato huu. Tusirahisishe mambo kwa ajili ya kumsifu mtu.
 
Mimi nina amini 100%, JK alifanya kazi kubwa kuujenga uchumi na kuvutia FDI ila huyo mwendazake alikua anafanya juhudi kubwa kukimbiza FDI na kuua private sector. Its an open secret, lets call a spade by its name
Aliyetoa dollar toka 950 to 2200 ni hyo Kikwete. Magufuli ameingia dolla ilisimama
Wakati mwingine unaweza kuruhusu inflation ili uchumi wa nchi upande. Watu wa uchumi wanajua hilo. Juzi mhe. Aliyekuwa kiongozi crdb muda mrefu kalifafanua vizuri sana. Kea hiyo stability ya shilingi against USD ni jambo jema la Mhe . JPM tunakubaliana. Lakini kea nini mtu usikubali kuwa JMK alipandisha uchumi kama takwimu alizotoa mtoa mada ni sahihi. Kwani imukubali ukweli inakuondolea kuwa shabiki bora wa kiongozi umpendaye. Rwanda sana fedha yenye nguvu ukibadilisha pale mpakani, lakini per capita income yetu tunawapita mbali. Jamani JMk apewe sofa stahiki, siyo kutuimbia wimbo wa ufisadi kila siku , wimbo umechuja. Takwimu zinapinga vizuri , hivyo tumieni takwimu kujenga hoja.
 
Afadhali ukawafundishe WB
 
Kikwete ndiyo aliye tufikisha angalau kwenye hiyo kitu ya uchumi wa kati.

Huyo baba yenu hana cha kujivunia alicho kifanya zaidi ya kututia umasikini
Uchumi wa Kati wa rushwa na ufisadi haukuwa wa haki! Uchumi wa haki ni wa Magufuli na ambaye alisimama kipindi cha Magu alisimama kiuhakika
 
Kikwete ndiyo aliye tufikisha angalau kwenye hiyo kitu ya uchumi wa kati.

Huyo baba yenu hana cha kujivunia alicho kifanya zaidi ya kututia umasikini
πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapo ndo nashindwaga kuwaelewa nyumbu,Leo hii mmepiga zile gia zenu za angani,Si JPM ni JK ndo alituingiza uchumi wa Kati.🀣

Siku hizi hamsemi tena ni uongo JPM alitunga na uchumi umeporomoka so alikua anadanganya tupo uchumi wa Kati,mmebadili gia uchumi wa Kati tuliingia enzi za JKπŸ˜‚πŸ˜‚
Ila nyumbu lakini mbona mnafilisika akili namna hyoooo
 
Lakini wapo waliokua wanajimwambafai kwamba ndio wao pekee walioifikisha Tz kwenye uchumi wa kati na kutaka kuwafanya tuwaone waliotangulia hakuna walilofanya. Kuwaambia wastaafu waache "kuwashwawashwa" ni kauli isiyofaa kwa watu ambao walikianza kijiti kabla hujakipokea wewe.
 
Hadi leo mnapambana na Hayati? Ameshafariki nchi mnayo kazi kwenu.
 
Uchumi upi jamani mbona mimi sielewi , au huu wa kuteua wasanii ma diisii? hatari sana
 
Mzimu wa JPM unasumbua baadhi ya watu sana nashauri kwenye mahoteli muwe mnachukua vyumba vya floor za chini vinginevyo mtajikuta mnakimbia kupitia madirishana kama Mwanamziki fulani wa Uganda.
Mtu kafanya mambo makubwa kwa muda mfupi na kayaacha yanaonekana,we unapambana tuyafute,huu si ni Uchawi.

Haya tuchukulie ni Tangazo tu la kwamba tumeingia uchumi wa kati lilitoka wakati wa JPM,matendo yalifanywa na JK,inatusaidia nini,sisi tunasubiri tangazo jingine litoke ndani ya miaka mitano tena kama atakuwa amefanya SSH,au JPM sisi tunaitaji matokeo.
 
Uchumi wa Kati wa rushwa na ufisadi haukuwa wa haki! Uchumi wa haki ni wa Magufuli na ambaye alisimama kipindi cha Magu alisimama kiuhakika
Siyo uchumi wa haki tu sema na ufisadi wa kihistoria umefanyika kipindi hicho.
 
Huyu mtoa mada ndio ofisa habari wa IRAN,kipindi HAMAS inachabangwa alipotea humu,cha AJABU baada ya ISRAEL kusitisha mashambulizi AKAIBUKA na nyuzi lukuki eti HAMAS imeitandika ISRAEL
Apuuzwe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…