Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Alianza kusambaza habari za mazishi kabla ya kifoKatika chaneli hiyo ya mtandao mtuhumiwa huyo aliandika, “BREAKING NEWS HUZUNI YATANDA MAZISHI YA MWAKYEMBE” taarifa ambazo ziliibua taharuki kubwa kwa wananchi hasa kwa Dkt. Mwakyembe mwenyewe na familia yake.