FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sasa kwanini utoe taarifa ambayo ni misleading? Umafahamu kabisa Mwakyembe Harrison ndiye anafahamika. Mfano leo useme ‘Huzuni yatanda mazishi ya Samiah’ , hata kama Samiah wapo wengi, bado utaleta taharukiMwakyembe ni ubini wa mtu mmoja tu Duniani?