Aliyetumia chaneli yake katika YouTube kumzushia kifo Dkt. Harrison Mwakyembe, akamatwa

Katika chaneli hiyo ya mtandao mtuhumiwa huyo aliandika, “BREAKING NEWS HUZUNI YATANDA MAZISHI YA MWAKYEMBE” taarifa ambazo ziliibua taharuki kubwa kwa wananchi hasa kwa Dkt. Mwakyembe mwenyewe na familia yake.
Alianza kusambaza habari za mazishi kabla ya kifo
 
Vichannel vya design hivyo viko vingi Sana ...nadhani polisi na TCRA Wana kazi ya kufanya...vinazusha viongozi jinsi walivyokuwa etc..
Vingi vilizalishwa wakati wa Mwakyembe mwenyewe akiwa Waziri wa habari kama siyo Katiba na sheria
 
huu uzi mbona umekaa kimbeya mbeya aliyezusha mwambengo aliyezushiwa mwakiyembe duh yaani mwaki mwaki tu hawa jamaa sio wanatafuta kiki kweli kwa kukaa nje ya mstari kwa muda mrefu kweli
 

Kwani alitangaza ni Mwakyembe au Dr. Harrison Mwakyembe?
 
Hao madogo wa YouTube huwa niwa pumbavu sana,usikute yeye aliandika kabisa Harrison Mwakyembe na kibaya zaidi ukute alitumia hadi picha zake
...Kuna Mjinga Mwingine kule Facebook ameamdika kabisa aliyekuwa Spika wa Bungee, yule waliepishana Kauli na Raisi, Eti amefariki, kataja na Jina Kabisa!
Habari hiyo Ina Karibuni Wiki Sasa ipo FB!
Unajiuliza mno TCRA wanafanya Kazi Gani Kwa Hawa Watu wanaotafuta 'Like' za Nguvu [emoji35][emoji35]
 
Watanzania ni wapumbavu sana. Yaan mtu ametaja kabisa Harrison Mwakyembe bado unataka kusema hakumaanisha yy. Hali hiyo mpate maendeleo kwa mawazo hayo ya makalioni.??
...Kwani Harrison Mwakyembe ni Mmoja TU Fanzania?
 
Uwe na ubi
Huyo mwakyembe ni nani mpaka azue taharuki kiasi hicho?

Hilo ZEE hata likifa ni sawa tu halina faida zaidi ya kutafuna TOZO ZETU.

Wamuachie huyo dogo. Waache kiherehere.

Kama hawana kazi waje watapishe choo changu hapa kimejaa.

Uwe na ubinadamu kiasi. Mwakyembe alishatoka kwenye system hata tozo Hali.
 
huo ndio uhuru wa habari mnaoutaka mlilalamika tv za mtandaoni zipo chache sasa zimeachiwa mnalia lia watu hawana maudhui yatakayofanya watu waview channel zao sasa wafanyeje lazma waandike hivyo ili uingie uangalie
 
Huwa wana heading za kijinga sana hawa watoto
 
Kwahiyo huyo DR HARRISON MWAKYEMBE yuko peke ake dunian
 
Hao madogo wa YouTube huwa niwa pumbavu sana,usikute yeye aliandika kabisa Harrison Mwakyembe na kibaya zaidi ukute alitumia hadi picha zake
Wana uandishi wa kipuuzi mnooo ili tu kupata viewer's
 
Ngoja aende mahabusu na jela akapumuliwe na mahabusu hadi akili zimrudie
 
Huyo wamnyooshe kisawa sawa na alipishwe hela kubwa sana mbwa sana hao. Wanakera sana hao madogo tabia ya kuzusha habari za kifalafala ili wapate viewers.

Sasa huyu wamnyooshe kisawa sawa ili awe na adabu siku nyingine ajifunze kuwa kuna kazi za watu sio za kufanyia michezo. Shenzi zake huyo.

Safi sana. Alipishwe fine kubwa familia yake wajue upumbavu wa mtoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…