Aliyetumia router ya halotel aje atupe mrejesho kuhusu ufanisi wake

nna siku 2 naitumia, iko vizuri, nimepandisha ile router yao futi 30 juu , 4G na 5G ziko full (5 bars each), napata 25-27 Mbps mda mwingi, imeshuka sana 18 (kifurushi: 70k cha 30Mbps)
kabla ya hapo ilikuwa mezani, nimezidi sana 6 Mbps
 
Juu ya paa darini au umefanyaje kiongozi hebu nnisanue nam nipandishe yangu
 
nna siku 2 naitumia, iko vizuri, nimepandisha ile router yao futi 30 juu , 4G na 5G ziko full (5 bars each), napata 25-27 Mbps mda mwingi, imeshuka sana 18 (kifurushi: 70k cha 30Mbps)
kabla ya hapo ilikuwa mezani, nimezidi sana 6 Mbps
So ikikaa juu zaidi ndo ne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…