Tetesi: Aliyetumika kumrubuni Patrobas Katambi kuhamia CCM!

Kaenda kuchuma fursa kwenye "shamba la bibi"
 
Yasemekana kua kazi hii imeanza kufanyika kitambo kidogo, ilisimamanmiwa na Naibu Waziri mmoja kijana kabisa ambaye awali aliwahi kukitumikia CHADEMA katika ngazi ya juu kabisa kwenye taasisi ya BAVICHA.

Inaelezwa kua kiongozi huyo kijana alitumia muda mwingi kumshawishi bwana Kitambi aondoke CHADEMA kwani huko hakuna fursa, kwamba yeye aliondoka Chadema na kuhamia CCM ambako alithaminiwa na kupewa fursa za uongozi kama kugombea ubunge viti maalum na hatimaye kuteuliwa kua naibu waziri. Maneno hayo yaliendelea kumlegeza bwana kitambi na kuona majukumu yake ndani ya BAVICHA ni kama mzigo kwake, huyo mwanadada hakuchoka kumlainisha Katambi ili afanikishe lengo lake la kuendelea kupiga propaganda kua hata yeye aliwahi kuondoka CHADEMA kwa sababu hicho chama sio cha wengi.

Bwana mgodo aliahidiwa kuongea na bwanakubwa ili amwahidi kile ambacho yeye angepeda kupata tena ikiwezakana iwe zaidi kuliko alipokua awali na kupewa nafasi ya kuthaminiwa ndani chama dola. Kijana alikua kama shingo upande lakini baadae mpango wa kuumuunganisha mzee ulifanikiwa na kuahidiwa alichoahidiwa. Na, hatimaye safari ya kuvua gwanda na kuvaa gamba ilifanikiwa.
Jinga jingine hili hapa, huenda ni Li Chadema tu.
 
Ni ngoma ya Mwigulu ila kwass baba Jesca ameanza kulamba taratibu c unajua ukipata damu changa kidogo ndio uliochangia kutoelewana kati ya Baba Jesca na Mwigulu. Mwigulu anapenda cheo imebidi aachie totoz
 
Kwani unaogopa nini kumtaja? Si ungeweka wazi kuwa anatoka kwenye Familia/ukoo unayopenda ndoa za jinsia moja na kukobolewa!
Mkuu uchochezi huo,utaitwa Central na badaye ukapime mkojo.
 
Nilikuwa sijakusoma, mana umeandika tetesi, na tetetsi yenyewe nikadhani uyo aliye mshawishi katambi ndo anataka kuhamia ccm
 
Kwa hiyo sio kununuliwa tena . kumbe alirubuniwa
 
Kweli bwana mdogo Katambi alikuwa nguzo muhimu BAVICHA
 
Back
Top Bottom