Mkuu ni miaka takribani 40 hivi imepita toka vita ya Kagera, Kwa nini wimbo huu leo ?Habari wadau!
Tuko kwenye mjadala hapa!
Wapo wanaodai ni mwalimu nyerere wengine wanasema ni Mboma, wengine wanasema ni Rais Moi!
Je, ni nani aliyetunga wimbo huo uliosikika kwa maneno "Iddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba!
Je, wimbo huo ulikuwa na ujumbe gani kwa watawala waliofuata?
Mfano kama ipiJeshini kuna nyimbo za ajabu sana,nimesoma shule moja ya jeshi kwa miaka 4,ni kambi maarufu kwa mafunzo.....kruta wakiwa kwenye mchakamchaka nyimbo zake daaah
Iddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba!Habari wadau!
Tuko kwenye mjadala hapa!
Wapo wanaodai ni mwalimu nyerere wengine wanasema ni Mboma, wengine wanasema ni Rais Moi!
Je, ni nani aliyetunga wimbo huo uliosikika kwa maneno "Iddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba!
Je, wimbo huo ulikuwa na ujumbe gani kwa watawala waliofuata?
Sasa tuna wahesabuIddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba!
Coded...!!!
Utaka kusema atunge mwingine auHabari wadau!
Tuko kwenye mjadala hapa!
Wapo wanaodai ni mwalimu nyerere wengine wanasema ni Mboma, wengine wanasema ni Rais Moi!
Je, ni nani aliyetunga wimbo huo uliosikika kwa maneno "Iddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba!
Je, wimbo huo ulikuwa na ujumbe gani kwa watawala waliofuata?
Zipo nyingi maana namimi nimeziimba sana ila tuishie hapoMfano kama ipi
Kwani ile kuruta na kenge nzuri Nani bado unaimbwa?Jeshini kuna nyimbo za ajabu sana,nimesoma shule moja ya jeshi kwa miaka 4,ni kambi maarufu kwa mafunzo.....kruta wakiwa kwenye mchakamchaka nyimbo zake daaah
Wewe ilikuwa Coy C? Huu wimbo ulibamba Sana.Sasa tuna wahesabu
Walio kufa kwa taabu
Bila hata matibabu
Walio kufa kwa taabu duniani
Mwana lumumba wa kongo
Walimpiga vigongo
Wakamvunja mgongo
Wakamtoa ubongo
Wala sisemi uongo ni ukweli
Tom mboya wa Kenya
Si kiongozi mbaya
Kala risasi ya taya
Maharamia wabaya
Wala hawaoni haya kumuua
Wana kifungo cha maisha gerezani
Na maiti si mwingine ni AMIN
AMIN kapiga ngoma GADDAFI kaimba wimbo maiti nazo husema aaah
Wacha Tanzania utaitambua.
Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaa!! Dah umenifungua akili Mkuu, hata Mimi Iddy Amin Dadaa Nduli akivuta siwezi kulia, nitamtupa mto ngono aliwe na mamba.Iddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba!
Coded...!!!
Iddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba!
Coded...!!!
Wimbo huo ulilenga kuwakumbusha watawala kutawala raia kwa haki na upendo ili wananchi wao wakumbuke yaliyo mema zaidi kwao ........Habari wadau!
Tuko kwenye mjadala hapa!
Wapo wanaodai ni mwalimu nyerere wengine wanasema ni Mboma, wengine wanasema ni Rais Moi!
Je, ni nani aliyetunga wimbo huo uliosikika kwa maneno "Iddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba!
Je, wimbo huo ulikuwa na ujumbe gani kwa watawala waliofuata?
Kama una tone yake nirushie Mkuu, ulikuwa wimbo wangu No.1Sasa tuna wahesabu
Walio kufa kwa taabu
Bila hata matibabu
Wengi hawana hesabu
Walio kufa kwa taabu duniani
Mwana lumumba wa kongo
Walimpiga vigongo
Wakamvunja mgongo
Wakamtoa ubongo
Wala sisemi uongo ni ukweli
Tom mboya wa Kenya
Si kiongozi mbaya
Kala risasi ya taya
Maharamia wabaya
Wala hawaoni haya kumuua
Wana kifungo cha maisha gerezani
Na maiti si mwingine ni AMIN
AMIN kapiga ngoma GADDAFI kaimba wimbo maiti nazo husema aaah
Wacha Tanzania utaitambua.
Haoana sina ni kumbukumbu ya kichwa tuKama una tone yake nirushie Mkuu, ulikuwa wimbo wangu No.1