Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi gani jamani...Long sana
Ulikua bado mdogo huelewi haya mamboUshindi gani jamani...
Watu wapo jogging wanaimba wimbo huoJamani msiwe mnakaa kimya sana, mnatuogopesha
Asiyependa jeshi atoroke usiku.Mfano kama ipi
Au nasema uongo ndugu zang?Wimbo huo ulilenga kuwakumbusha watawala kutawala raia kwa haki na upendo ili wananchi wao wakumbuke yaliyo mema zaidi kwao ........
HahahahaLk 21:6 SUV
Haya mnayoyatazama, siku zitakuja ambapo halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa.
Habari wadau!
Tuko kwenye mjadala hapa!
Wapo wanaodai ni mwalimu nyerere wengine wanasema ni Mboma, wengine wanasema ni Rais Moi!
Je, ni nani aliyetunga wimbo huo uliosikika kwa maneno "Iddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba!
Je, wimbo huo ulikuwa na ujumbe gani kwa watawala waliofuata?
Hapana sio KombaSiyo Hayati Kapteni John Komba kweli akiwa jeshini kipindi hicho?
Wee mpelekee,moto,yaani peleka motoMfano kama ipi
Hapana sio Komba
Huu wimbo wa zamani sana nadhani Komba alikuwa bado shuleni
Kipindi cha Mwalimu Jeshi lilikuwa Jeshi uimbaji ulitukuka Ulinzi wa mipaka yetu ulikuwa imara
JKT ilikuwa JKT tuliimba sana hizi nyimbo
Mwingine huu hapa
....pole sana Amin Kafikiria Kashindwa kaona achukue Kagera ambayo ni mali ya . ....'
Unaimba kwa bidii huku ukisubiria kichele
Sky Eclatmm
Ilikua ni enzi za Brigadier Moses Nauye na Mkuu wa Majeshi Generali Sarakikya. Walithamini sana vipaji jeshini. John Komba aliacha kazi yake ya uwalimu ni kuingia jeshini.Hapana sio Komba
Huu wimbo wa zamani sana nadhani Komba alikuwa bado shuleni
Kipindi cha Mwalimu Jeshi lilikuwa Jeshi uimbaji ulitukuka Ulinzi wa mipaka yetu ulikuwa imara
JKT ilikuwa JKT tuliimba sana hizi nyimbo
Mwingine huu hapa
....pole sana Amin Kafikiria Kashindwa kaona achukue Kagera ambayo ni mali ya . ....'
Unaimba kwa bidii huku ukisubiria kichele
Sky Eclat
Kwahiyo aliyetunga huo wimbo ni naniHapana sio Komba
Huu wimbo wa zamani sana nadhani Komba alikuwa bado shuleni
Kipindi cha Mwalimu Jeshi lilikuwa Jeshi uimbaji ulitukuka Ulinzi wa mipaka yetu ulikuwa imara
JKT ilikuwa JKT tuliimba sana hizi nyimbo
Mwingine huu hapa
....pole sana Amin Kafikiria Kashindwa kaona achukue Kagera ambayo ni mali ya . ....'
Unaimba kwa bidii huku ukisubiria kichele
Sky Eclat
umepanic na wimbo hujauelewaAlietunga wimbo huo atakua hajitambui, kama ni nyerere nae alishakufa, kama ni moi alishakufa, sasa faida yake nini!!!! Je, na waganda pia walitunga wimbo wao siku "Nyerere akifa, mimi siwezi kuliaa"????????? Ni upumbavu tu, ulie usilie itampunguzia nini idd amini kama sio ulimbukeni.........
Kwan huu wimbonuliimbwa wap?.. mbona siukumbukiHaoana sina ni kumbukumbu ya kichwa tu
Umenikumbusha JKTSasa tuna wahesabu
Walio kufa kwa taabu
Bila hata matibabu
Wengi hawana hesabu
Walio kufa kwa taabu duniani
Mwana lumumba wa kongo
Walimpiga vigongo
Wakamvunja mgongo
Wakamtoa ubongo
Wala sisemi uongo ni ukweli
Tom mboya wa Kenya
Si kiongozi mbaya
Kala risasi ya taya
Maharamia wabaya
Wala hawaoni haya kumuua
Wana kifungo cha maisha gerezani
Na maiti si mwingine ni AMIN
AMIN kapiga ngoma GADDAFI kaimba wimbo maiti nazo husema aaah
Wacha Tanzania utaitambua.