Aliyetunga wimbo wa "Idd Amin akifa, mimi siwezi kulia..." Ukaimbwa mashule na kambini kama kibwagizo alikuwa nani?

Aliyetunga wimbo wa "Idd Amin akifa, mimi siwezi kulia..." Ukaimbwa mashule na kambini kama kibwagizo alikuwa nani?

Habari wadau!

Tuko kwenye mjadala hapa!

Wapo wanaodai ni mwalimu nyerere wengine wanasema ni Mboma, wengine wanasema ni Rais Moi!

Je, ni nani aliyetunga wimbo huo uliosikika kwa maneno "Iddi Amin Akifaa, Mimi siwezi kuliaa, nitamtupa kageraa, ili awe chakula cha mamba!

Je, wimbo huo ulikuwa na ujumbe gani kwa watawala waliofuata?
Unachokitafuta utakipata.

Wananchi hawana adabu na serikali inawaangalia tu chuki na uzushi kama huu unatakiwa kukomeshwa mapema kabla ya kuota mimi
 
Sasa tuna wahesabu
Walio kufa kwa taabu
Bila hata matibabu

Wengi hawana hesabu
Walio kufa kwa taabu duniani
Mwana lumumba wa kongo
Walimpiga vigongo
Wakamvunja mgongo
Wakamtoa ubongo
Wala sisemi uongo ni ukweli
Tom mboya wa Kenya
Si kiongozi mbaya
Kala risasi ya taya
Maharamia wabaya
Wala hawaoni haya kumuua
Wana kifungo cha maisha gerezani
Na maiti si mwingine ni AMIN
AMIN kapiga ngoma GADDAFI kaimba wimbo maiti nazo husema aaah
Wacha Tanzania utaitambua.
Umenikumbusha kuwa nilisoma shule ya msingi!
 
Unachokitafuta utakipata.

Wananchi hawana adabu na serikali inawaangalia tu chuki na uzushi kama huu unatakiwa kukomeshwa mapema kabla ya kuota mimi
Unaparamiwa siyo bure
 
Unataka kusema unahitaji maboresho au vipi!?
 
Unachokitafuta utakipata.

Wananchi hawana adabu na serikali inawaangalia tu chuki na uzushi kama huu unatakiwa kukomeshwa mapema kabla ya kuota mimi
Chuki na uzushi upi?
 
Back
Top Bottom