Aliyetunga wimbo wa "Idd Amin akifa, mimi siwezi kulia..." Ukaimbwa mashule na kambini kama kibwagizo alikuwa nani?

Jamani msiwe mnakaa kimya sana, mnatuogopesha
 
Huu wombo tangu jana nautafuta nisikilize lakini sipati
 

Alietunga wimbo huo atakua hajitambui, kama ni nyerere nae alishakufa, kama ni moi alishakufa, sasa faida yake nini!!!! Je, na waganda pia walitunga wimbo wao siku "Nyerere akifa, mimi siwezi kuliaa"????????? Ni upumbavu tu, ulie usilie itampunguzia nini idd amini kama sio ulimbukeni.........
 
Siyo Hayati Kapteni John Komba kweli akiwa jeshini kipindi hicho?
Hapana sio Komba
Huu wimbo wa zamani sana nadhani Komba alikuwa bado shuleni


Kipindi cha Mwalimu Jeshi lilikuwa Jeshi uimbaji ulitukuka Ulinzi wa mipaka yetu ulikuwa imara
JKT ilikuwa JKT tuliimba sana hizi nyimbo
Mwingine huu hapa
....pole sana Amin Kafikiria Kashindwa kaona achukue Kagera ambayo ni mali ya . ....'
Unaimba kwa bidii huku ukisubiria kichele
Sky Eclat
 
Ilikua ni enzi za Brigadier Moses Nauye na Mkuu wa Majeshi Generali Sarakikya. Walithamini sana vipaji jeshini. John Komba aliacha kazi yake ya uwalimu ni kuingia jeshini.
 
Kwahiyo aliyetunga huo wimbo ni nani
 
umepanic na wimbo hujauelewa
 
Ulitungwa na kigogo wa kipindi kile ambaye ni babu wa kigogo wa twitter huyu mnayemsikia leo.
 
Umenikumbusha JKT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…