Kwa asiye na hekima hata dole atakutiaMh ila mwanamke akikuzidi cheo,kipato,elimu nk
Ni shida anaweza akakupangia mpaka muda wa kurudi๐๐๐
Huu ushahidi nnao kna mtu namjua nlikuwa napiga naye ulabu yalimkuta haya
Ova
Huwez muumiza ngoz mtoto wa mwenzio wakati yeye kakuumiza moyoUmekosea, umemuumiza moto halafu muachane kirahisi
Unanikumbusha jamaa yangu mtu ameenda juu kinyamwezi . Tukiwa tunakunywa bar jirani na home, mkewe akiona Massawe anachelewa anakuja bar na kutoa amri moja tu.Mh ila mwanamke akikuzidi cheo,kipato,elimu nk
Ni shida anaweza akakupangia mpaka muda wa kurudi๐๐๐
Huu ushahidi nnao kna mtu namjua nlikuwa napiga naye ulabu yalimkuta haya
Ova
HahahUnanikumbusha jamaa yangu mtu ameenda juu kinyamwezi . Tukiwa tunakunywa bar jirani na home, mkewe akiona Massawe anachelewa anakuja bar na kutoa amri moja tu.
Masawe twende nyumbani, na kweli Massawe hata Ile beer ya kwenye glasi haimalizii. Ni kuamka na kumfuata manka. (Kuoa Marangu Kuna changamoto sana especially ukute ndugu zake manka Ni wanasheria halafu wanazo)
Hata kwa kugongwa ngozi na vibopaMwanamke mwenye hekima umuinua kiuchumi mume wake
HahaaaaaaHuwez muumiza ngoz mtoto wa mwenzio wakati yeye kakuumiza moyo
Yaani na kofia hiyo ya Cow boy akaamua kukimbilia muleba?Wana JF
Habari za kuaminika kutoka Muleba ni kwamba, mme wa Irene Mzava amepatikana akiwa hoi katika jaribio la kutaka kujua jana kwa rafiki yake ambaye alienda kujificha lakini ikashindikana baada ya watu kutoa taarifa kuwepo kwake eneo hilo.
Aliona wakinyatia, akafunga milango, akatafuta waya wa umeme extension cable, akajininginiza kwenye feni kwa lengo la kujitoa roho, watu wakawa wanangongea afungue yeye akawa anapambana kujiua ndipo wakamuwahi akiwa hoi, wakampeleka katika hospitali ya Kaigara,wakapima vipimo vyote akaonekana yupo sawa, wakamweka pingu, sasa yupo njiani akiletwa dar kujibu tuhuma za mauaji.
R.I.P Ireni hakika damu yako mzito, jamaa kakamatwa kabla ujazikwa.
Pia soma > Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea
View attachment 2070466
Nasikia mke alikuwa anajenga nyumba kisirisiri anaandika nduguHahah
Jamaa mtu mzima tu alikuwa mke wake alikuwa ana nyadhifa fulani serikalini(rip)
Alikuwa anampelekesha sana jamaa
Ashamtolea bastola jamaa jamaa akatoka nduki
Akaruka ukuta kukimbia๐๐
Ova
Wewe wasema, wanawake wengi waliojaribu hivyo yaliwakuta ya kuwakuta, Yan usiombeMwanamke mwenye hekima umuinua kiuchumi mume wake
Wewe wasema, wanawake wengi waliojaribu hivyo yaliwakuta ya kuwakuta, Yan usiombe
Ninao mfano wa watu wangu wa karibu kabisa, mwanaume alikuwa hana kitu akija ukamuwezesha anaanza kufanya uhuni na. Kuzaa nje,Naomba ufafanue .
Bushmamy Mimi vitu vyangu vyote jina Ni waif. Ili Kama nitatangulia kuchomoka asije akatokea ndugu akasema chochote.Wewe wasema, wanawake wengi waliojaribu hivyo yaliwakuta ya kuwakuta, Yan usiombe
Mwanamme kutoka nje mpaka kuzaa inasababishwa na wanawake wenyewe.Ninao mfano wa watu wangu wa karibu kabisa, mwanaume alikuwa hana kitu akija ukamuwezesha anaanza kufanya uhuni na. Kuzaa nje,
Kila siku umekuwa kuku, sema mmeumbwa kwa asili ya tamaaMwanamme kutoka nje mpaka kuzaa inasababishwa na wanawake wenyewe.
Give him the thing uone Kama atapata nguvu ya ziada mpaka kutoka nje. Sasa Ninyi leo imaginary kichwa, kesho imaginary tumbo, kesho kutwa siko kwenye mood, kesho ingine nimechoka.
Sisi tumeumbwa kila siku tunataka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Du jamaa kama hajajenga ndiyo ameshaepukana na kodi ya nyumba. Ataishi kwenye majengo ya serikali kwa muda mrefu sana.
Ninao mfano wa watu wangu wa karibu kabisa, mwanaume alikuwa hana kitu akija ukamuwezesha anaanza kufanya uhuni na. Kuzaa nje,
Mwanaume ninaekula chakula na kushiba siwezi kulala na mke wangu wa ndoa afu nisisimamisheKila siku umekuwa kuku, sema mmeumbwa kwa asili ya tamaa