Aliyeua Mke apatikana Muleba alikokwenda kujificha, akutwa katika harakati za kujiua

Mwanaume ninaekula chakula na kushiba siwezi kulala na mke wangu wa ndoa afu nisisimamishe
Kwanza asubuhi tu nikiamka nakuta dushe imesimama hapa lazima mwanamke awajibike kuilaza kisha ndo mambo mengine yaendelee
Inatakiwa mwezi mara 2 au tatu tyu zaidi ya hapo hainogi bana
 
Utavunja ndoa yako....

Mwenzio hapo anatafuta room... ..na inaonyesha keshakukoleza...

Unataka kulivuruga vibaya Sana..

Peleka matmizi ..watoto watakufata pole pole...
 
Utavunja ndoa yako....

Mwenzio hapo anatafuta room... ..na inaonyesha keshakukoleza...

Unataka kulivuruga vibaya Sana..

Peleka matmizi ..watoto watakufata pole pole...
Hunijui, ila mwenyewe ananijua vizuri tu
 
Jamaa ni mtu mzima Sana hata huko lupango sijui itakuwaje
 
Mwanamke hata nimpende vipi ila nikijua tu ana kinasaba na uMarangu tu namuacha siku hiyo hiyo
 
Nishawaambia MSIOEEE ila HAMSIKii.

Haya sasa pedeshee huyoo jela anaacha utamu wotee wa dunia kisa NDOA..!!

#YNWA
 
Mwanamke hata nimpende vipi ila nikijua tu ana kinasaba na uMarangu tu namuacha siku hiyo hiyo
Halafu atokee ukoo wa kina Nya.......
Na wewe kipato chako Ni mshahara wa serikali...
Utaosha vyombo sana
 
Haya maandishi mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…