Aliyeua Mke apatikana Muleba alikokwenda kujificha, akutwa katika harakati za kujiua

Aliyeua Mke apatikana Muleba alikokwenda kujificha, akutwa katika harakati za kujiua

Nakumbuka kuna siku niliomba game na mtalaka wangu akakubali kiroho safi

Nilipiga mpaka ute ukakauka mi nipo tu, pakaloana tena mi nipo tu, pakakauka kwa mara nyingine mi kazi yangu ni kumbadilisha mikao tu, nikawa namkunja kwa hasira namuweka mikao ambayo sikuwahi kumeweka na yeye yupo tu

Nilimtomba kuanzia saa tatu usiku hadi saa kumi na moja alfajiri kuanzia saa tatu hadi saa kumi na moja alfajiri nimepumzika masaa mawili tu

Tena siku hiyo nilijiandaa yaani nilikula nikashiba haswa, sasa sijui ile game aliielewa sasa hivi ananiambia nimtumie nauli aje tena

Alishaolewa kaachika sa hv anataka kujirudisha kwangu mimi namjibu labda uwe mke wa pili anasema yupo tayari
Daah...! Hawa viumbe hawa
Nataka nimpangie nyumba niwe najipigia tu basi maana niliyenaye sasa hataki niwe na wake wawili
 
Mpangie nyumba watu wawe wakupigia hapo kwenye nyumba uliyompangia
 
Afu unamsanifu kua unanyege ila unajihisi mchovu akuache ulale huku ukisubiri msg ya usiku mwema toka kwa mchepuko
Ukiona ndoa haina matatizo Wala ugomvi ujue mume and pressure valve (mchepuko)
Ukimtegemea mke huyo huyo akupikie, akupe uroda, alee watoto wako, akushauri, atunze pesa zako, akupangie bajeti, akupe amani. Ujue umelishwa kitu inaitwa LIMBWATA kwa kinyamwezi. Au umelishwa nyama chafu.
 
Hiyo lazima kila mwanume anaeingia kwenye mahusiano na wanawake wa sasa lazima amfanyie usaili wa Jicho aone kama linaona au limepofuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka green rajab usichukue ushauri wa watu Kama mrangi .
Usije ukamjaribisha mnyakyusa wa ndaani ndani huko Tukuyu au manka aliyelelewa kidini Kama jicho linaona, kesi hiyo itafika mpaka kwa mama mkwe halafu uwe umetokea kwenye kabila lenye wachawi Kama watu wa Njombe, utamkosa huyo mke.
 
Ukiona ndoa haina matatizo Wala ugomvi ujue mume and pressure valve (mchepuko)
Ukimtegemea mke huyo huyo akupikie, akupe uroda, alee watoto wako, akushauri, atunze pesa zako, akupangie bajeti, akupe amani. Ujue umelishwa kitu inaitwa LIMBWATA kwa kinyamwezi. Au umelishwa nyama chafu.
Hatari aise
 
Safi kabisa. Uwe na mchepuko wako somewhere, ukiona waif analeta za kuleta unamwambia nakwenda kula kongoro bar ya jirani. Kumbe uko Makongo juu...... Ukirudi mwepesi na presha zenu zimepungua.
Kuna jamaa mmoja mtu wa mtandao hasa Facebook kwa sana lakini huwezi amini jinsi watu wanavyomgongea mke wake. Huyo mke wake ni ''tupatupa'' wa K. Na jamaa naye ni kicheche. Hapitwi na mwanamke. Mke akileta house girl anaye, ndugu wa mke akija anaye, akienda bar anachukuwa. Huwa nashangaa hawa watu wana mishipa ya wivu kweli?
 
dah, Mwenyezi atuepushie mbali hili pepo la kupiga au kupigana...

unaweza kuua kwa kujaribu tu kumpiga mke wako kibao hapo hapo ukakuta mtu anaanguka na kupoteza maisha.... Tumuombe sana Mungu atuepushe na hizi roho aisee... akikuzingua piga kimya tu na ukiona magumu zaidi ondoka muachie nyumba na watoto wewe anzisha maisha mengine...
 
Umeongea point muhimu sana
 
Kaka green rajab usichukue ushauri wa watu Kama mrangi .
Usije ukamjaribisha mnyakyusa wa ndaani ndani huko Tukuyu au manka aliyelelewa kidini Kama jicho linaona, kesi hiyo itafika mpaka kwa mama mkwe halafu uwe umetokea kwenye kabila lenye wachawi Kama watu wa Njombe, utamkosa huyo mke.
Haha haha hatari mkuu kwamba unacheki la mnyakyusa wa Tukuyu kama zima
 
Mpangie nyumba watu wawe wakupigia hapo kwenye nyumba uliyompangia
Sawa tu muhimu niwe karibu na wanangu yeye hata akiolewa kwenye nyumba niliyompangia hainihusu
Maana nafanya hivi sababu nahitaji kuwa karibu na watoto tu, najua watoto wakiona siku moja moja nalala home na mama yao watajua baba yao nipo na nikiondoka watajua nimesafiri

Kuliko sa hv mtoto mkubwa wa kiume mwenye miaka mitano amekua akimsumbua mama yake, anamwambia, "Mama namtaka Baba yangu anayenileteaga zawadi". ( hapo alinihadisia tulipokua tunapumzika ) maana nilikua kila ninapotembelea familia yangu nilikua nanunua nguo na vitu vya kuchezea nawapelekea

Baadae nikakata mguu nikawa namtumia matumizi tu, sasa watoto ndo wakaanza kuniulizia kwa mama yao

Hivyo yeye kupigwa hainihusu wala haitaniumiza ninachoangalia ni watoto tu
 
Ukiona umefikia ya kumfanyia ukatili mtu uliyekua unampenda na kuahidi kumlinda heri umwache tuu.
Kujilazimisha kukaa nae ndio kunaishiaga kwenye hizi huzuni

Hili ni funzo kubwa kwetu tuliobakia

Rest well Irene
Unakuta labda walitaka kuachana ikashindikana... Ila naona mwanamke kwa kuwa hela ilikuwepo kumzidi bwana migogoro haishii, siku zote mara nyingi mwanamke kwenye familia akiwa ana pesa za kumzidi bwana migogoro huwa sio rahisi kuzimika mara moja huko a kila siku kuna mikwaruzano
 
Inamaana ndoa nyingi za wanawake ma DED, RAS, DAS, WAKUU WA MIKOA, WAKUU WA WILAYA, WATENDAJI WA KATA zinamigogoro?
Niliwasahau kina dada Joy, Dada Doro n.k
 
Unakuta labda walitaka kuachana ikashindikana... Ila naona mwanamke kwa kuwa hela ilikuwepo kumzidi bwana migogoro haishii, siku zote mara nyingi mwanamke kwenye familia akiwa ana pesa za kumzidi bwana migogoro huwa sio rahisi kuzimika mara moja huko a kila siku kuna mikwaruzano

Misingi ya ndoa imeharibika. Wewe waweza ingia kwenye mahusiano sababu ya upendo na uhitaji wa kupata msaidizi, lakini yeye akawa ameingia kwenye mahusiano na pesa zako au mwili wako.

Baada ya muda mambo yakibadilika anakinai mwili wako, anapata pesa zingine sasa zile zako hazionekani tena inaingia chuki ndani ya moyo na mambo yanakua si mambo

Mungu atusaidie turudi kwenye mpango wake ili
Kila Mume Na AMPENDE mke wake
Kila mke na AMTII mume wake

WAEFESO 5: 22-30
Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.

Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.

Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa.

Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa. Kwa kuwa u viungo vya mwili wake.

1WAKORIONTO 7: 1-5
"Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe. Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.

Mume atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe; na hali kadhalika mke kwa mumewe. Kwa maana mke hatawali mwili wake mwenyewe, bali mume wake ndiye autawalaye. Vivyo hivyo, mume hatawali mwili wake mwenyewe, bali mkewe ndiye anayeutawala."

MUNGU ATUSAIDIE
 
Back
Top Bottom