Aliyeua Mke apatikana Muleba alikokwenda kujificha, akutwa katika harakati za kujiua

Wana JF

Habari za kuaminika kutoka Muleba ni kwamba, mme wa Irene Mzava amepatikana akiwa hoi katika jaribio la kutaka kujua jana kwa rafiki yake ambaye alienda kujificha lakini ikashindikana baada ya watu kutoa taarifa kuwepo kwake eneo hilo.

Aliona wakinyatia, akafunga milango, akatafuta waya wa umeme extension cable, akajininginiza kwenye feni kwa lengo la kujitoa roho, watu wakawa wanangongea afungue yeye akawa anapambana kujiua ndipo wakamuwahi akiwa hoi, wakampeleka katika hospitali ya Kaigara,wakapima vipimo vyote akaonekana yupo sawa, wakamweka pingu, sasa yupo njiani akiletwa dar kujibu tuhuma za mauaji.

R.I.P Ireni hakika damu yako mzito, jamaa kakamatwa kabla ujazikwa.

Pia soma > Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Najiuliza Hao waliotoa taarifa wamemjuaje ni yeye wakt ni mgeni uko au ni mwenyeji wake ndio kamchoma, tuseme alikua kijijini ndanindani huko kwasbb mbona hawakudhani labda ni mgeni innocent wa uyo mwenyeji wake tu kama wageni wengine
 
Wanawake muwe na adabu kwa waume zenu ... mnajitaftia matatizo
 
Wana JF

Habari za kuaminika kutoka Muleba ni kwamba, mme wa Irene Mzava amepatikana akiwa hoi katika jaribio la kutaka kujua jana kwa rafiki yake ambaye alienda kujificha lakini ikashindikana baada ya watu kutoa taarifa kuwepo kwake eneo hilo.

Aliona wakinyatia, akafunga milango, akatafuta waya wa umeme extension cable, akajininginiza kwenye feni kwa lengo la kujitoa roho, watu wakawa wanangongea afungue yeye akawa anapambana kujiua ndipo wakamuwahi akiwa hoi, wakampeleka katika hospitali ya Kaigara,wakapima vipimo vyote akaonekana yupo sawa, wakamweka pingu, sasa yupo njiani akiletwa dar kujibu tuhuma za mauaji.

R.I.P Ireni hakika damu yako mzito, jamaa kakamatwa kabla ujazikwa.

Pia soma > Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

Damu ya Irene haitanyamaza
 
Ningejua ningejua ningejua mimiii.ona sasa badala ya kula naenda kuliwa
angejua angeenda zake bar,anakula pombe mpaka saa 7,halafu anaondoka nazingine ndani ya gari yake, anarudi home ,geti linafunguliwa anaingia na gari ,anaamuru geti lifungwe yy anabaki ndani ya gari yake anaendelea kula pombe mpaka awe chakari halafu anapiga usngz ndani ya gari Hadi asbh!, Leo hii asingekuwa na hii kesi ya mauaji!!
 
Wana nyumba nyingi hata moshi walijenga na mke wake,

Ukiona umefikia ya kumfanyia ukatili mtu uliyekua unampenda na kuahidi kumlinda heri umwache tuu.
Kujilazimisha kukaa nae ndio kunaishiaga kwenye hizi huzuni

Hili ni funzo kubwa kwetu tuliobakia

Rest well Irene
 
Wana JF

Habari za kuaminika kutoka Muleba ni kwamba, mme wa Irene Mzava amepatikana akiwa hoi katika jaribio la kutaka kujua jana kwa rafiki yake ambaye alienda kujificha lakini ikashindikana baada ya watu kutoa taarifa kuwepo kwake eneo hilo.

Aliona wakinyatia, akafunga milango, akatafuta waya wa umeme extension cable, akajininginiza kwenye feni kwa lengo la kujitoa roho, watu wakawa wanangongea afungue yeye akawa anapambana kujiua ndipo wakamuwahi akiwa hoi, wakampeleka katika hospitali ya Kaigara,wakapima vipimo vyote akaonekana yupo sawa, wakamweka pingu, sasa yupo njiani akiletwa dar kujibu tuhuma za mauaji.

R.I.P Ireni hakika damu yako mzito, jamaa kakamatwa kabla ujazikwa.

Pia soma > Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea
Aletwe na difenda kama wanavyofanywa magaidi wenzake.
 
Ulivyopoteza kibarua alikuona huna maana. Huyo alikua hakufai, angekusumbua mbele ya safari. Alikua yupo kimaslahi tu.
Ke yupi ambaye hayupo kimaslahi?

Ebu fulia kwanza ili uijue vizuri tabia ya Mkeo kisha utuletee mrejesho kuwa ile kauli ya Me tutakula kwa jasho inamaanisha bila chapaa hakuna kupendwa na Ke yeyote duniani.
 
angejua angeenda zake bar,anakula pombe mpaka saa 7,halafu anaondoka nazingine ndani ya gari yake, anarudi home ,geti linafunguliwa anaingia na gari ,anaamuru geti lifungwe yy anabaki ndani ya gari yake anaendelea kula pombe mpaka awe chakari halafu anapiga usngz ndani ya gari Hadi asbh!, Leo hii asingekuwa na hii kesi ya mauaji!!
Angejua angeenda nyumba ndogo, akalishwa maini ya kukaanga, beer tatu, massage ya nguvu, akitoka huko mwepesi Kama unyoya.
 
angejua angeenda zake bar,anakula pombe mpaka saa 7,halafu anaondoka nazingine ndani ya gari yake, anarudi home ,geti linafunguliwa anaingia na gari ,anaamuru geti lifungwe yy anabaki ndani ya gari yake anaendelea kula pombe mpaka awe chakari halafu anapiga usngz ndani ya gari Hadi asbh!, Leo hii asingekuwa na hii kesi ya mauaji!!
Angejua hasira zake angemalizia kwa wauza nyuchi tu siku ipite
 
Back
Top Bottom