Aliyeua Mke apatikana Muleba alikokwenda kujificha, akutwa katika harakati za kujiua

Aliyeua Mke apatikana Muleba alikokwenda kujificha, akutwa katika harakati za kujiua

Aje apate haki yake. Unauwaje mtu kisa kakusaliti.We si muachane tu uoe mtoto mkale mwembamba uwe una kelega vile utakavyo. Tena asizidi miaka 23 ili awe kifaranga kwako.
 
Aje apate haki yake. Unauwaje mtu kisa kakusaliti.We si muachane tu uoe mtoto mkale mwembamba uwe una kelega vile utakavyo. Tena asizidi miaka 23 ili awe kifaranga kwako.
Jamaa zembe sana. Watoto wakali wamejaa kila kona wa moto. Acha kabisa yaani niue kisa unaniletea za kuleta. Ama nakuroga tu au natafuta pini kali naitafuna huku nadondokwa chozi la uroho.
 
Hivi viumbe ndo maana Mungu ametuambia tuishi navyo kwa akili.
nikiri siku moja nilitaka kuua mtoto wa mtu.
Siku moja aliniambia niende kwa mdogo wake jioni ilipofika usiku nikaenda nikampigia nikamwambia nipo nje.akasema anakuja bwana wee.lisaa lizima mtu hatoki nikampigia simu kwani upo wapi akaniambia ametoka amemsindikiza Dada yao alikuja nikamwambia mbona haujaniambia akasema alijua atarudi mapema.nikamsubiri mpaka saa 4 usiku.
Kiukweli nilishikwa na hasiraaa nilitamani nimbamize kichwa ukutani nimpasue lakini nikawaza naweza nikaua alafu nikaja kuishia JELA.nikajituliza Ila Hawa viumbe wanakera Sana.
Mbaya zaidi hapo nimetoka kupotezwa kibarua changu .kazi Sina mwanamke analeta Mambo ya ajabu.unaweza ukawa chizi.nikaamua kwenda nae anavyotaka yeye anitafute sawa asinitafute sawa.mpaka akachoka tukaachana
Ulivyopoteza kibarua alikuona huna maana. Huyo alikua hakufai, angekusumbua mbele ya safari. Alikua yupo kimaslahi tu.
 
Eti hivi kweli uache K Vant kiurahisi kabisa ivo.K Vant+ Ugali Dona na Kitimoto Roast Mchicha, iwekwe na pilipili Kwabali.Ukimaliza unashushia na Serengeti lite 2 za baridi.
Unakuta alimuua kwa wivu wa kimapenzi ona sasa anaenda kunyea ndoo na kuacha starehe zote za hili jiji tamu..hatakunywa soda baridi tena
 
Eti hivi kweli uache K Vant kiurahisi kabisa ivo.K Vant+ Ugali Dona na Kitimoto Roast Mchicha, iwekwe na pilipili Kwabali.Ukimaliza unashushia na Serengeti lite 2 za baridi.
Yaani kafanya maamuzi kijinga sana bora angemwacha Irene watu waendelee kumfaidi huku na yeye akizishughulikia pisi kali.
 
Picha ya marehemu mpka sasa hatujaiona,
Yawezekana alikuwa yaliyomo yamo

Ova
Ni wakawaida ila wivu
download.jpg
 
Jamaa zembe sana. Watoto wakali wamejaa kila kona wa moto. Acha kabisa yaani niue kisa unaniletea za kuleta. Ama nakuroga tu au natafuta pini kali naitafuna huku nadondokwa chozi la uroho.
Jamaa mpuz sana

Unatoa uhai wa mwenzako kisa kutoelewana

Watu mkizinguana kila mtu atafute ustarabu wake tu

Ova
 
Back
Top Bottom