Aliyeua Mke apatikana Muleba alikokwenda kujificha, akutwa katika harakati za kujiua

Mpangie mitaa Goms siku ukiwa kwa mke mkubwa mi naenda kumfariji usiku
 
Sijawahi kuomba au kupelekwa Dodoma ambako nasikia Sasa ndio makao makuu. Na sijui Kama Kuna utamu Kama huku Dar es Salaam. Sijui nitaanzaje kuomba kwenda Dodoma kutalii japo Mara moja na kuona soko la ndugai.
Unakosea njia tu utajikuta upo Nyerere Square umeloa tope
 
Sio kofi namtomb.. a kibabe nasugua simi mpaka liwake moto
 
Kusema ukiwa na wake wengi unaishi sana umeniongopea kabisaa Tate Mkuu. Unajiandalia mazingira eeeh
Kwani Desmond Tutu yeye alikua na wake wangapi?
Nina babu yangu ana 99 na amekua na mke mmoja maisha yake yote
Huyo alikua mvivu tu
 
Siku hizi upendo hamna kabisa
 
One two one kupeana mara moja moja mkipishana kauli inaruhusiwa lakini sio kuuana.
Mkishindwana heri kukaa mbali kidogo,mme unafanya kama umesafiri hivi watoto wasijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…