Mgonjwa huyo.....Akihojiwa na wasafi amesema anashangaa watu wa haki za binadamu wakilalamika kwa ule ni udhalilishaji.
"Mimi nina haki ya kufanya sanaa ,serikali haina bajeti kunilisha mi natafuta na ninalipa kodi,watu wengine wangefanya nilichofanya wala wasingehoji ,nina haki zangu kama wengine"
WAPUMBAVU PEKEE NDIO HAWATAAMINI KUWA ULE NI UDHALILISHAJI
Siku ya Simba day kuna albino alivaa pampasi katika maigizo ya kuchekeshaKwan kulitokea nini? Msilete habari kama vile wite tunajua mnachokileta. Toeni ufafanuzi hata kwa picha basi
🤣🤣 hapa sasa ndio napata picha kamili.Siku ya Simba day kuna albino alivaa pampasi katika maigizo ya kuchekesha
Chama cha Albinism kimetoa tamko kuwa Simba inatakiwa kuomba radhi kwa kitendo hicho ambacho wao wamekiona kama ni udhalilishaji kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.
Japokuwa muhusika mwenyewe ambaye ni albino amekiri kufanya vile kama sanaa na ni sehemu ya kujipatia mkate wake.
Lakini kuna watu waliokuja na maswali wakiuliza vipi endapo igizo lile lingefanywa na joti ingechukuliwa kwa uzito huu kuwa ni udhalilishaji?
Ukiachana na hilo, kuna Zungu ambaye naye ni Albino ameshangazwa na hiyo taasisi kwa namna walivyopokea hilo igizo.
Kuna mtu alihoji akisema "hivi lile tukio lingefanywa na Joti, lingeleta tafsiri hiyo hiyo ya udhalilishaji?"
Kwa akili hizi mnawezaje kuendesha bandari?
Yule amefanya kwa hiari yake na mapenzi yake.Akihojiwa na wasafi amesema anashangaa watu wa haki za binadamu wakilalamika kwa ule ni udhalilishaji.
"Mimi nina haki ya kufanya sanaa ,serikali haina bajeti kunilisha mi natafuta na ninalipa kodi,watu wengine wangefanya nilichofanya wala wasingehoji ,nina haki zangu kama wengine"
Tuipuuzeni hiyo taasisi,wanaonekana kuwa ni mashabiki wa jangwani.Siku ya Simba day kuna albino alivaa pampasi katika maigizo ya kuchekesha
Chama cha Albinism kimetoa tamko kuwa Simba inatakiwa kuomba radhi kwa kitendo hicho ambacho wao wamekiona kama ni udhalilishaji kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.
Japokuwa muhusika mwenyewe ambaye ni albino amekiri kufanya vile kama sanaa na ni sehemu ya kujipatia mkate wake.
Lakini kuna watu waliokuja na maswali wakiuliza vipi endapo igizo lile lingefanywa na joti ingechukuliwa kwa uzito huu kuwa ni udhalilishaji?
Ukiachana na hilo, kuna Zungu ambaye naye ni Albino ameshangazwa na hiyo taasisi kwa namna walivyopokea hilo igizo.
Alijivalishaaa…au alivalishwaaa?WAPUMBAVU PEKEE NDIO HAWATAAMINI KUWA ULE NI UDHALILISHAJI
"Mimi nina haki ya kufanya sanaa ,serikali haina bajeti kunilisha mi natafuta na ninalipa kodi,watu wengine wangefanya nilichofanya wala wasingehoji ,nina haki zangu kama wengine"[emoji419][emoji818]Akihojiwa na wasafi amesema anashangaa watu wa haki za binadamu wakilalamika kwa ule ni udhalilishaji.