Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
Kwani kuvaa mpampas kuna udhalilishaji gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaomtuhumu ndiyo wanamnyanyapaa mbona Haji Manara albino anakubali kushikwa manyonyo na mwanaume mwenzake hawamsemi? Hizi zote ni side effects za kibegiAkihojiwa na wasafi amesema anashangaa watu wa haki za binadamu wakilalamika kwa ule ni udhalilishaji.
"Mimi nina haki ya kufanya sanaa ,serikali haina bajeti kunilisha mi natafuta na ninalipa kodi,watu wengine wangefanya nilichofanya wala wasingehoji ,nina haki zangu kama wengine"
Mataahira peeke ndiyo yanaona ule ni udhalilishajiWAPUMBAVU PEKEE NDIO HAWATAAMINI KUWA ULE NI UDHALILISHAJI
Manara alipokuwa simba alikuwa anatoa jezi na kubaki na kivesti akishangilia,je angevua kivesti ingekuwa kudhalilisha maalbino?Simba kama taasisi kubwa
Ilipaswa kupima maudhui ya hilo wanaloliita igizo
Kila kitu kilichofanyika pale kilikuwa ni jambo la simba
Mashabiki kukosa tiketi, mbona wanalaumiwa simba?
Halikuwa jambo zuri uungwana kukosea ni kuomba radhi
Mzee baba code zako zinahitajika kwenye jukwaa letu pendwaAkihojiwa na wasafi amesema anashangaa watu wa haki za binadamu wakilalamika kwa ule ni udhalilishaji.
"Mimi nina haki ya kufanya sanaa ,serikali haina bajeti kunilisha mi natafuta na ninalipa kodi,watu wengine wangefanya nilichofanya wala wasingehoji ,nina haki zangu kama wengine"
Tamasha lilikuwa la simba sio kwamba mtu kuwa albino hawezi kudhalilisha albinoManara alipokuwa simba alikuwa anatoa jezi na kubaki na kivesti akishangilia,je angevua kivesti ingekuwa kudhalilisha maalbino?
Hata Umbar Ruth aliliwa [emoji2539]kwa kutaka lkn serikali ili ingilia katiYule amefanya kwa hiari yake na mapenzi yake.
Wasipende kutaka kuchukua attention kwa vitu ambavyo wala havihitaji attention hiyo.
Kitu gani cha kudhalilisha pale?
Yanga mwenzangu. Walimdhalilisha nani pale hao Simba?WAPUMBAVU PEKEE NDIO HAWATAAMINI KUWA ULE NI UDHALILISHAJI
sikuona hiyo clip na siamini kama walimdhalilisha given the fact that alikuwa mtu mzima mwenye maamuzi ya kufanya chochote ndani ya sheria za nchi.Akihojiwa na wasafi amesema anashangaa watu wa haki za binadamu wakilalamika kwa ule ni udhalilishaji.
"Mimi nina haki ya kufanya sanaa ,serikali haina bajeti kunilisha mi natafuta na ninalipa kodi,watu wengine wangefanya nilichofanya wala wasingehoji ,nina haki zangu kama wengine"
Uwe unatofautisha matukio. Kwani kwenye hili kuna jinai? Kuna ukiukwaji wa maadili uliofanyika? Kwani serikali ndiyo imeingilia kati?Hata Umbar Ruth aliliwa [emoji2539]kwa kutaka lkn serikali ili ingilia kati
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sakata hili halimuhusu yeye bali linawahisu Simba kwa kutozingatia mavazi, mbona anajitetea bila ya kushutumiwa?Akihojiwa na wasafi amesema anashangaa watu wa haki za binadamu wakilalamika kwa ule ni udhalilishaji.
"Mimi nina haki ya kufanya sanaa ,serikali haina bajeti kunilisha mi natafuta na ninalipa kodi,watu wengine wangefanya nilichofanya wala wasingehoji ,nina haki zangu kama wengine"
Kama Haji Manara angekuwepo Simba unadhani Simba wangefanya hivyo?Kuna mtu alihoji akisema "hivi lile tukio lingefanywa na Joti, lingeleta tafsiri hiyo hiyo ya udhalilishaji?"
Sasa kama aliyefanya kasema hakudhalilishwa,we nani unakaza fuvu???hii nchi bhn[emoji28][emoji28]WAPUMBAVU PEKEE NDIO HAWATAAMINI KUWA ULE NI UDHALILISHAJI
Mtenda kashasemaWAPUMBAVU PEKEE NDIO HAWATAAMINI KUWA ULE NI UDHALILISHAJI
Amberuti ni special case mkuu ndo maana hata video zake zikitupiwa kwenye mitandao ya kujamii zinafungiwa,amberuti kaleta public mauno ya chumbani huwezi fananisha na hiliHata Umbar Ruth aliliwa [emoji2539]kwa kutaka lkn serikali ili ingilia kati
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app