Aliyevaa pempers Simba day amesema ana haki kufanya sanaa

Aliyevaa pempers Simba day amesema ana haki kufanya sanaa

Najua manara ndio ana push hilo tukio maana yule jamaa anapenda vita sana.
 
Siku hizi albino wamechachamaa. Kuna binti mmoja anatumaga video akidance, anakata uno balaa
 
Na albino huyu anamdhslilidhs nani
JamiiForums-1290500738.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1689822750645.jpg
    FB_IMG_1689822750645.jpg
    9 KB · Views: 1
Kaitwa na chombo cha habari sasa kama ameulizwa asijibu?siyo kujitetea jamaa ameweka wazi
Kwanini chombo cha habari kimuite wakati si wasimamizi wa sheria, tujifunze kukataa kuwajibiu wasiohusika, wahusika hawakumlaumu yeye.
 
Akihojiwa na wasafi amesema anashangaa watu wa haki za binadamu wakilalamika kwa ule ni udhalilishaji.

"Mimi nina haki ya kufanya sanaa, serikali haina bajeti kunilisha mi natafuta na ninalipa kodi, watu wengine wangefanya nilichofanya wala wasingehoji, nina haki zangu kama wengine"
Ila tuwe wakweli. Kumtumia mwanadamu mwenzako kama toilet paper, siyo poa hata kidogo.

Halafu na nyinyi simba ifikie wakati muwaachie sasa hayo maigizo watoto wa kidato cha nne na cha sita kwa ajili ya mahafali yao. Yaani mijitu mizima na akili zenu, siku ya tamasha lenu mnafanya maigizo!!
 
Sherehe yoyote lazima kuwe na burudani
 
Sherehe yoyote lazima kuwe na burudani
Hata kama! Fanyeni burudani za kiutu uzima bhana kama wafanyavyo kaka zenu Yanga. Mambo ya maigizo, sarakasi, nk ni mambo ywanayofanya wanafunzi kwenye mahafali yao.

Nawapongeza kwa kuwa waanzilishi. Ila kwenye burudani, mnafeli sana. Kila mwaka msanii wenu tegemeo ni Tundaman! Msanii ambaye hata haeleweki huwa anaimba nini!! Hivi shida ni nini hasa?
 
Mkuu burudani ina matawi mengi,huyu anapenda kuona sarakasi mwingine mziki,kuna watu wapo uwanjani mle kuanzia saa sita mchana hadi saa moja jioni kusubiri mpira,unadhani watakaaje humo ndani bila burudani wengine washapiga wanzuki na wengine wanaingia nazo mle mziki ukipigwa ndo amsha amsha yenyewe.

Tundaman anapelekwa kwasababu ni shabiki lialia wa simba ila hana vibe,mbona kiba kapiga show vizuri tu.

NB: Mi sipendi wasemaji,wanamziki wanatusi au kukejeli timu zingine ila nilichoona hiki ndo kitu hakiwezekani kwa hizi timu za kariakoo maana hadi viongozi wanapigiana vijembe
 
Back
Top Bottom