Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ndiyo huyohuyo aliyewaambia ubwabwa unapikwa jioni-Ukimaliza kuoga kama maji yamebaki unajimwagia miguuni
-ukienda kanisani kutoa sadaka unaomba chenji kabisa hukohuko ulipotoka
-kuwa ijumaa ni siku ya biriani
-kuwa mwanaume hapaki mafuta makalioni
-vyombo vya udongo wanatumia wageni tu kulia chakula
-
-
-
-
Halafu mimi sipendi, mtu ana namba yako anajua kabisa anayepiga ni mtu fulani hiyo haloo ya nini sasaSio lazima kusema haloo ukipokea simu
Sadaka nazo zipo nyingi sana,Sadaka ya kawaida,Jengo.....etc Sasa inahitaji moyo wenzio bench zima wanainuka kutoa wewe umekausha,so ukiwa na buku 2 unaivunja vunja hata x4🤣🤣Kwenda kanisani na hela iliyo kwisha I change ni kutokana na uchumi wetu mdogo.
Sasa,uwezo wako kwa siku ni 5000 uende upeleke 5000 yote kanisani,tena kwa gwajima.Khaaa
Kweli kabisa,hapo ni dairekti Khantwe niambie 🤣🤣Halafu mimi sipendi, mtu ana namba yako anajua kabisa anayepiga ni mtu fulani hiyo haloo ya nini sasa
Au hata ukisema hallo unaongezea neno mfano Haloo Chukwu emeka vipi? Sasa mtu anajibu haloo halafu anasikilizaKweli kabisa,hapo ni dairekti Khantwe niambie [emoji1787][emoji1787]
Sasa tuliovijijini huku tumeagiziwa Simu tu,tunajua kupiga na kupokea tu,mtusamehe tuAu hata ukisema hallo unaongezea neno mfano Haloo Chukwu emeka vipi? Sasa mtu anajibu haloo halafu anasikiliza
ndo huyo huyo aliyesema eti NAMBA UNAYOPIGA HAIPATIKANI.....WAKATI LINE NIMEISHIKA MKONONI HAPA...sasa sijui hawajaitafuta vizuri au uzembeSasa tuliovijijini huku tumeagiziwa Simu tu,tunajua kupiga na kupokea tu,mtusamehe tu
Wakuu mkuje muone Thomas Edison anavunjiwa heshima na kijana wa buza alieshiba maparachichi yakeAliyeanza kutumia neno Hello! kwenye simu ni mgunduzi wa simu mwenyewe Bwana Alexander Graham Bell. Yeye alisema Ahoy! ambayo ni English ya zamani sana, kuna mwanasayansi mjanja mjanja mwingine aliyekuwa hana akili za sayansi ila uhuni na wizi anaitwa Thomas Alva Edison ndio akapendekeza tuseme Hello! maana inatamkika kirahisi
hahaha.. alafu ndio huyo huyo aliyesema akichinjwa kuku firigisi anakula babaNdio huyo huyo aliye waambia kua kifagio kinakaa nyuma ya mlango.
Ndo mpaka uokote hiyo buku 10huwezi jua..unaslweza kutoa 5000 sadaka..unatoka nje baada ya misa unaokota 10000
Hope is not a financial strategy...huwezi jua..unaslweza kutoa 5000 sadaka..unatoka nje baada ya misa unaokota 10000
Mtu unamuheshimu vizuri tu kumbe kwenye mpangilio hula nyama mwishoniNdiyo huyo huyo aliyewaambia: "Nyama na Matunda, yanaliwa mwishoni mwa mlo na sio mwanzo wala katikati."
Ndio aliyesema kama hujaoga huli ubwabwaNdiyo huyohuyo aliyewaambia ubwabwa unapikwa jioni