GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwani ni lazima tufuate ushauri wakoHalafu tukiwa tunawasema hapa hapa kuwa Yanga SC kuna 'matatizo' makubwa hasa kupitia Viongozi wake na Wafadhili huwa mnadhani GENTAMYCINE kwakuwa ni Simba SC basi nakuwa nawaonea na Kuwaandama wakati kumbe nyuma ya Pazia mngekuwa mnapokea tu 'Ushauri' wangu leo mngefaidika nao na hata kuwa mbali tu Kimpira na Kimaendeleo vile vile.
Hivi inaingia 'Akilini' kweli Yanga SC 'imesajili' Wachezaji wakubwa wa Kigeni tena kwa Gharama kubwa mno halafu hawashiriki pia tena Kimataifa.
Siku hizi wasipotoa shikamoo kwa wakati wanazibuliwa makofiWe ni Shabiki na mwanachama wa Simba, kwanini usitumie mda mwingi kuizungumzia Simba...?
Kila Siku Yanga Africa, tumekuchoka bhna tuachie Yanga yetu shida ni nn, inaonesha unateseka sana na Agenda nyingi zinazoendelea pale Jangwani
% Punguza Shobo basi %
Ndio maana mkambeba manyani shida sana mnatufanya wote wajingaMateso mnayopitia ni makali sana,vumilieni ndio hali ya dunia. Nnachokumbuka Mimi Eng. Hersi Said alisema tutasajil kwa ajili ya kuleta ubingwa wetu ulopotea kwa muda mrefu hakusema tunataka tufike nusu kwenye CAF CL. Poleni sana,ndio hivyo Jana haiwezi kuwa Leo tena!! Hapa SMT 'Serge Mukoko Tonombe hapa Two Nine TK Master!!!
Tuweke ushabiki kando. Haya ongelea topic iliyopo kuhusu ushiriki wa yanga CHAMPION LEAGUE YA AFRIKAWe ni Shabiki na mwanachama wa Simba, kwanini usitumie mda mwingi kuizungumzia Simba...?
Kila Siku Yanga Africa, tumekuchoka bhna tuachie Yanga yetu shida ni nn, inaonesha unateseka sana na Agenda nyingi zinazoendelea pale Jangwani
% Punguza Shobo basi %
πππππ πππππ π’πππ π’π ππππππππ πππππππ πππ ππ π πππππππ thinkerHuo ushauri wako peleka hukuView attachment 1559290
Great thinkers wanaandika kama wewe? Poopπππππ πππππ π’πππ π’π ππππππππ πππππππ πππ ππ π πππππππ thinker