Aliyewadanganya Yanga SC kuwa mwaka huu nao Watashiriki 'Kimataifa' kisha 'Wakasajili' Wachezaji watakaosumbuana nao 'Kimalipo' atawaomba Radhi lini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Halafu tukiwa tunawasema hapa hapa kuwa Yanga SC kuna 'matatizo' makubwa hasa kupitia Viongozi wake na Wafadhili huwa mnadhani GENTAMYCINE kwakuwa ni Simba SC basi nakuwa nawaonea na Kuwaandama wakati kumbe nyuma ya Pazia mngekuwa mnapokea tu 'Ushauri' wangu leo mngefaidika nao na hata kuwa mbali tu Kimpira na Kimaendeleo vile vile.

Hivi inaingia 'Akilini' kweli Yanga SC 'imesajili' Wachezaji wakubwa wa Kigeni tena kwa Gharama kubwa mno halafu hawashiriki pia tena Kimataifa.
 
Sisi Washabiki wa Timu ya Wananchi aliyekuwa kocha Wetu aliyewanoa Hazard na Benteke Eymael alipotuita 'Uneducated' alikuwa sahihi.
Ukweli ni kwamba hakuna aliyetudanganya bali tulihadaika na mitandao ya Kijamii kwani ndiyo baadhi ya Watu walisema tutachukua nafasi ya Libya.
Sisi Timu ya Wananchi maranyingi huwa Viongozi wetu wanakurupuka kwa kuokoteza habari bila ya kuzithibitisha.
 
Halafu tukiwa tunawasema hapa hapa kuwa Yanga SC kuna 'matatizo' makubwa hasa kupitia Viongozi wake na Wafadhili huwa mnadhani GENTAMYCINE kwakuwa ni Simba SC basi nakuwa nawaonea na Kuwaandama wakati kumbe nyuma ya Pazia mngekuwa mnapokea tu 'Ushauri' wangu leo mngefaidika nao na hata kuwa mbali tu Kimpira na Kimaendeleo vile vile.

Hivi inaingia 'Akilini' kweli Yanga SC 'imesajili' Wachezaji wakubwa wa Kigeni tena kwa Gharama kubwa mno halafu hawashiriki pia tena Kimataifa.
Kwani ni lazima tufuate ushauri wako
 
Heeee, nijuzeni. Hivyo Yanga mwaka huu kupanda tai ni msamiati? Sasa usajili wa 1.5 bn ni kuchezea sigara stadium pale kinondoni? Mama weee!
 
We ni Shabiki na mwanachama wa Simba, kwanini usitumie mda mwingi kuizungumzia Simba...?
Kila Siku Yanga Africa, tumekuchoka bhna tuachie Yanga yetu shida ni nn, inaonesha unateseka sana na Agenda nyingi zinazoendelea pale Jangwani
% Punguza Shobo basi %
 
Mateso mnayopitia ni makali sana,vumilieni ndio hali ya dunia. Nnachokumbuka Mimi Eng. Hersi Said alisema tutasajil kwa ajili ya kuleta ubingwa wetu ulopotea kwa muda mrefu hakusema tunataka tufike nusu kwenye CAF CL. Poleni sana,ndio hivyo Jana haiwezi kuwa Leo tena!! Hapa SMT 'Serge Mukoko Tonombe hapa Two Nine TK Master!!!
 
Siku hizi wasipotoa shikamoo kwa wakati wanazibuliwa makofi
 
Ukizingua tu kutoa shikamoo kwa wakati ni makofi tu!! Moaka benchi la ufundi linatakiwa litoe shikamoo kwa Mzee Paskali, Mzee Kagere, Mzee Nyoni, Mzee Bocco na Mzee Onyango!
 
Katimu kanapoteza muelekeo madingi wanataka heshima yao,msipowaamkia ni makwenzi kwa kwenda mbele!! Bado Matola anajifanya kiburi hamwamkii
 
Mateso mnayopitia ni makali sana,vumilieni ndio hali ya dunia. Nnachokumbuka Mimi Eng. Hersi Said alisema tutasajil kwa ajili ya kuleta ubingwa wetu ulopotea kwa muda mrefu hakusema tunataka tufike nusu kwenye CAF CL. Poleni sana,ndio hivyo Jana haiwezi kuwa Leo tena!! Hapa SMT 'Serge Mukoko Tonombe hapa Two Nine TK Master!!!
Ndio maana mkambeba manyani shida sana mnatufanya wote wajinga
 
Huo ushauri wako peleka huku
Facebook%20media%20-%202363843723924742%20(%20417%20X%20417%20).jpg
 
We ni Shabiki na mwanachama wa Simba, kwanini usitumie mda mwingi kuizungumzia Simba...?
Kila Siku Yanga Africa, tumekuchoka bhna tuachie Yanga yetu shida ni nn, inaonesha unateseka sana na Agenda nyingi zinazoendelea pale Jangwani
% Punguza Shobo basi %
Tuweke ushabiki kando. Haya ongelea topic iliyopo kuhusu ushiriki wa yanga CHAMPION LEAGUE YA AFRIKA
 
Tangu umtoe Makonda kwenye ulimwengu wa Siasa post zako zimekuwa za ajabuajabu sana😂😂😂😂😂😂😂
 
𝚈𝚊𝚊𝚗𝚒 𝚖𝚊𝚖𝚋𝚘 𝚢𝚊𝚔𝚘 𝚢𝚊 𝚏𝚊𝚌𝚎𝚋𝚘𝚘𝚔 𝚞𝚗𝚊𝚕𝚎𝚝𝚊 𝚞𝚔𝚞 𝚔𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚐𝚛𝚎𝚊𝚝 thinker
Great thinkers wanaandika kama wewe? Poop
 
Back
Top Bottom