De Professor
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 237
- 505
Wasi wasi wangu ni kwamba unaweza purchase kitu cha bei kubwa ikitokea longo longo unamfata nani maana kwa kuchat tu na mtu haitoshi.Hawana ofisi dar unaagiza utapokea kutokana na njia ya usafirishaji uliochagua
Dah...napata tabu kujilidhisha nikipata hitilafu ya mzigo inakuaje mfano kikuu unaeza enda ofisini kwao wakaurudisha nawewe ukatumiwa mwingineWaliniletea kwenye my designated address
Lipa kwa alipayWasi wasi wangu ni kwamba unaweza purchase kitu cha bei kubwa ikitokea longo longo unamfata nani maana kwa kuchat tu na mtu haitoshi
Sema wale uhakika sana ndio maana unafanya enquiry Kwanza kabla hujaagiza. Unachat na seller.Dah! Napata tabu kujilidhisha nikipata hitilafu ya mzigo inakuaje mfano kikuu unaeza enda ofisini kwao wakaurudisha nawewe ukatumiwa mwingine
Alibaba na Aliexpress ni waaminifu sana, huwa hawaachii hela kwa supplier mpaka wewe ukubali kwamba umepokea mzigo wako. Na usipopokea unafungua dispute ambapo baada ya siku 21 za kazi hela yako inarudi yote. Namna ya kupokea mzigo wako ni kupitia posta. Taadhari ukishalipia mzigo ukaona supplier hajafanya shipping ndani ya siku 7 anza kumbana, mawasiliano yote yafanyike kupitia platform ya ALIBABA usikubali mawasiliano kwa njia ya email.Wasi wasi wangu ni kwamba unaweza purchase kitu cha bei kubwa ikitokea longo longo unamfata nani maana kwa kuchat tu na mtu haitoshi
Alibaba ni mtandao safe Sana Kwa biashara , scams ni wachache! Jamaa wapo proffessional alaf wachina Wana Sana, ni kama bongo tuu..mnacheka mnafurah, mnataniana alaf wachangamfu sana. Unakuta demu ana miaka 20 na ni marketing manager wa kiwanda, full kutabasamu yaani.Wasi wasi wangu ni kwamba unaweza purchase kitu cha bei kubwa ikitokea longo longo unamfata nani maana kwa kuchat tu na mtu haitoshi
Alibaba kuna wale wa buy 2 get 1 free hawa nao vipi kwa wazoefu Mwl.RCTAlibaba ni mtandao safe Sana Kwa biashara , scams ni wachache...!! Jamaa wapo proffessional alaf wachina Wana Sana , ni kama bongo tuu..mnacheka mnafurah , mnataniana alaf wachangamfu Sana...unakuta demu ana miaka 20 na ni marketing manager wa kiwanda , full kutabasamu yaan
Ni lugha ya biashara ni sawa na mwingine anakuandikia.buy 2 get 1 free hawa nao vipi kwa wazoefu @Mwl.RCT
Fala wewe utakuwa ushakutana na ka she kangu[emoji23][emoji23] kana miaka 21. Tuna chat mpk private tushakuwa wana sana sometime ananitafutia vitu nje ya ofis kwa uaminifu ananitumia. Juzi kameninunulia piano na simu pesa kalipokea kwa western union nje ya mfumo kabisa nwa alibaba[emoji38] na kametuma kwa agent.Alibaba ni mtandao safe Sana Kwa biashara , scams ni wachache. Jamaa wapo proffessional alaf wachina Wana Sana , ni kama bongo tuu..mnacheka mnafurah, mnataniana alaf wachangamfu Sana. Unakuta demu ana miaka 20 na ni marketing manager wa kiwanda , full kutabasamu yaan
Achukue uzoefu hahaaWe anzia AliExpress kwanza uzoee na huko, ukishaiva ndio upambane kuja kwa supplier wakubwa alibaba. Kwasasa pambania AliExpress umzoee pia
Yea, yani hujawahi pambana na shipping za Singapore wala Caniao miezi 3 [emoji3][emoji3], hujapigiwa simu posta, hujaona tracking inakwambia mzigo uko held na custom uende direct ku bargain na supplier Alibaba[emoji1] akomae Kwanza hukoAchukue uzoefu hahaa