Aliyewahi kuagiza Alibaba au anajua office zao zilipo kwa Dar

Aliyewahi kuagiza Alibaba au anajua office zao zilipo kwa Dar

Fala wewe utakuwa ushakutana na ka she kangu[emoji23][emoji23] kana miaka 21. Tuna chat mpk private tushakuwa wana sana sometime ananitafutia vitu nje ya ofis kwa uaminifu ananitumia. Juzi kameninunulia piano na simu pesa kalipokea kwa western union nje ya mfumo kabisa nwa alibaba[emoji38] na kametuma kwa agent.
Eh watu mnasiri kwahyo mnamademu wa kichina sisi hatujui dah
 
Eh watu mnasiri kwahyo mnamademu wa kichina sisi hatujui dah
Ha ha ha mzee huyu demu saiz mpk tunapabga kutembeleana[emoji38][emoji38] ila ujue nimeijenga pia maana kuna muda namnunulia mazaga tu kule pinduo ma taobao naelekeza kwenye address yake anainjoy
 
Ha ha ha mzee huyu demu saiz mpk tunapabga kutembeleana[emoji38][emoji38] ila ujue nimeijenga pia maana kuna muda namnunulia mazaga tu kule pinduo ma taobao naelekeza kwenye address yake anainjoy
Duh kweli mpo serious mpka unahonga mchina alooo sio mchezo
 
Kuna watu kupitia huu uzi wameanza mizengwe yao ya kutafuta fursa, ooh nipe namba nikuelekeze kwa simu, ooh chukua hii namba nicheki whatsapp nikupe maelekezo....

Tupeane maelekezo HAPA iwe elimu kwa wengine pia, wote tukikimbilia whatsapp Jamii forum itabaki doro.
Great ningependa kukujulisha kuwa kwa sasa AliExpress hawatumii tena shipping agent. Kwasasa AliExpress wameiingia makubaliano na kampuni ya safirishaji iitwayo speedaf so mizigo yote yawateja inayonunuliwa toka AliExpress inasafirishwa na hii kampuni ya speedaf ofisi zao zipo Morocco pale. so wew nunua mzigo weka address yako mzigo wako ukifik dar unapigiwa unaletew had ulipo
 
Back
Top Bottom