ni ndege naona kama wanachelewesha navumilia tuu ,nataka niongoze mzigo uje kwa meli ndo niliwafikiria shamwaa lakini umenikatisha tamaa kuhusu huduma zaoNi mizigo ya aina gani hiyo ya kuchukua mwezi? Je ni meli au ndege?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni ndege naona kama wanachelewesha navumilia tuu ,nataka niongoze mzigo uje kwa meli ndo niliwafikiria shamwaa lakini umenikatisha tamaa kuhusu huduma zaoNi mizigo ya aina gani hiyo ya kuchukua mwezi? Je ni meli au ndege?
Mzigo huwa ni vitu tuu mchanganyiko naagiza ninachoona naweza kuuza hauzidi kg 50Ni mizigo ya aina gani hiyo ya kuchukua mwezi? Je ni meli au ndege?
Sijakukatisha tamaa mkuu we jaribu tu ila kama huna uvumilivu usiwe unawapigia utafokewa na kula block mazima 😆ni ndege naona kama wanachelewesha navumilia tuu ,nataka niongoze mzigo uje kwa meli ndo niliwafikiria shamwaa lakini umenikatisha tamaa kuhusu huduma zao
Kama mzigo hauna betri au kimiminika hua unaondoka China ijumaa na bongo unafika jpili jtatu unapokeaMzigo huwa ni vitu tuu mchanganyiko naagiza ninachoona naweza kuuza hauzidi kg 50
Linapokuja swala la Tozo, haki sawa hutendeka, bila kujali kama ni mfanyabiashara mdogo au mkubwa, kanuni ya kukokotoa kodi ni mmoja tu.utaratibu wa Kodi siku hizi za tozo kwa wafanyabiashara wadogo
Kila agent ana kiwango cha gharama zake katika kukufanyia clearancekujuzwa fees za hawa ma agents wanaotutumia Tz
Anaweza kukutumia direct bila shida, swala ni mawasilaiano na makubaliano kwanza kwenye hizo gharama za ziada ukiacha gharama ya bidhaa husika.Kwamba wholesaler hawezi akakutumia mzigo moja kwa moja?
Hapana sio lazima atumike agent katika kusafirisha.alibaba ukiwa unanunua in bulky kuleta Tz ni lazima utumie hawa ma agents?
- Kila agent ana kiwango cha gharama zake. Fanya mawasiliano na agents husika. Kabla ya kumpa kazi.fees za hawa ma agents wanaotutumia Tz
Na akintumia direct kama ni parcel ndogo naweza ichukua posta moja kwa moja kama ali-express? au itahusisha clearing agentAnaweza kukutumia direct bila shida, swala ni mawasilaiano na makubaliano kwanza kwenye hizo gharama za ziada ukiacha gharama ya bidhaa husika.
-
Mahala utachukulia mzigo hutegemeaNa akintumia direct kama ni parcel ndogo naweza ichukua posta moja kwa moja kama ali-express?
Hapana haihusishi agent, iwao kuna chochote unatakiwa kuliia utajulishwa hapo hapo postaitahusisha clearing agent
Ahsante sana, aisee ubarikiweMahala utachukulia mzigo hutegemea
- Njia ya usafirishaji itakayotumika.
Kuna baadhi ya njia za usafirishaji, Ndio mzigo utachukulia posta.
Soma mzaidi hapa | Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)
- Na kwanjia zingine za usafirishaji mzigo unaufuata kwenye ofisi za kamuni iliyohusika kukusafirishia au kampuni husika itakupigia simu ili wakuletee mahala ulipo.
Tafadhali naomba mawsiliano yako nakuomb tafadhali au kama utapend naomba ufanye kama msaada kwangu nakuomba namba yangu whats app ni 0626517799Waliniletea kwenye my designated address
Bro naomba unisaidie kuielewa hiyo nakuomba nahitaji tumia alibaba but nikipata mtu anaeilewa kam wew nitafanikiwa nakuomb unisaidie naomba mawasiliano yako au nakuomba nisadie mawasiliano yangu ni 0626517799 au 0785870804Waliniletea kwenye my designated address
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona thread Yako.Mnieleweshe na mie, nataka kuagiza Ali Express,
Sina Sanduku la Posta kwa maana hiyo siwezi kupokea mzigo hadi niwe nalo? Pia njia ya malipo inanitatiza kwa Visa Card inakataa.
Natanguliza shukrani.
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona thread yakoVipodozi
Karibu Fago Express chief nitakujibu maswali Yako ...Wale hawajibu text ukiwapigia wanajivuuta kama wamelazimishwa
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baadai yakuona thread Yako.Hamna ofisi zao Dar ila unapokea kwa shipping agent. Mimi nilikuwa natumia Silent Ocean. Unasema mzigo utumwe Guangzhou kwa china kwenye address ya Silent Ocean. Mzigo ukiwafikia Silent watautuma Dar unaenda kuchukua pale kwenye Godown lao la karibu na Keko. Safety kwa Silent Ocean iko vizuri nimeshafanya biashara nao za 10s of millions. Changamoto ambayo ni kuhakikisha hukosei ni kuchagua supplier mzuri kwenye Alibaba.