Tozonia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 689
- 734
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baadai yakuona thread Yako. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5ni ndege naona kama wanachelewesha navumilia tuu ,nataka niongoze mzigo uje kwa meli ndo niliwafikiria shamwaa lakini umenikatisha tamaa kuhusu huduma zao
Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar Kwa gharama nafuu
Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili ss tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..
Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958
Tuko kariakoo Msimbazi B karibu na kituo cha polisi.