Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wakuu kwema?
Kuna jamaa yangu aliniambia kuhusu ku trade instruments(mfano gold, oil, bitcoins, stocks, currency) kama inavyokuwa kwenye forex, ila hii inafanyika kwenye platform inayoitwa MTFE.
Kwenye hii kitu kuna group lao, mtu anawatumia signal ya ku buy au ku sell na wao wanafanya tu na wanaingiza pesa ndefu tu maana mara nyingi signal ni sahihi.
Lakini instrument wanayo trade sana ni ECI. Hii ECI sijawahi kuiona popote kama ilivyo instruments nyingine kama gold, oil, na currency mbalimbali ambazo unaziona kwenye MT4 ya forex, na hili likanifanya nikawa na wasiwasi isijekuwa ni scam.
Vipi, kuna ambao wanaijua hii MTFE na hii ECI?