Aliyewahi kukutana na biashara hii, ni ya kweli au utapeli?

Aliyewahi kukutana na biashara hii, ni ya kweli au utapeli?

Na trade kwenye Platform nyingine, ila baada ya kusoma Thread ya mdau, ikabidi niende kuhakiki Uhalali wa hii Platform ambayo mdau kaileza!

Coz hata Platform ambayo na Trade pia nilifanya Uhakiki kabla.
Eti kuna index inaitwa ECI ndiyo ambayo inakua traded huko, hii index ina exist kweli?
 
Nimeisaka mtandaoni mbona sijaiona?
Tofauti na index nyingine kama NIKKEI, NASDAQ, FTSE, au Dow Jones, ukizishaka Google tu zinapatikana fasta
Inabidi uiulize source yako, kila mtu ana trade kutokana na Source yake....!
 
Inabidi uiulize source yako, kila mtu ana trade kutokana na Source yake....!
Source si ndio tayari inatiliwa mashaka mkuu
Mi nauliza kama umewahi kuiona maana ameniambia ipo
 
Source si ndio tayari inatiliwa mashaka mkuu
Mi nauliza kama umewahi kuiona maana ameniambia ipo
Platform zipo Nyingi......sijawahi ......!
Itumie Vizuri google Mkuu, kutafuta information wewe mwenyewe.....!
 
Back
Top Bottom