Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Google na youtube itakupa majibu yasiyopinda ingia humoWakuu kwema? Kuna jamaa yangu aliniambia kuhusu ku trade instruments (mfano gold, oil, bitcoins, stocks, currency) kama inavyokuwa kwenye forex ila hii inafanyika kwenye platform inayoitwa MTFE
Kwenye hii kitu kuna group lao mtu anawatumia signal ya ku buy au ku sell na wao wanafanya tu na wanaingiza pesa ndefu tu maana mara nyingi signal ni sahihi
Lakini instrument wanayo trade sana ni ECI, hii ECI sijawahi kuiona popote kama ilivyo instruments nyingine kama gold, oil, na currency mbalimbali ambazo unaziona kwenye MT4 ya forex, na hii ikanifanya nikawa na wasiwasi isijekuwa ni scam
Vip kuna ambao wanaijua hii MTFE na hii ECI??
Mwambie atrade yeye hadi awe Bilionea halafu aje akuajiri kwenye Kampuni atakayoianzisha.Wakuu kwema? Kuna jamaa yangu aliniambia kuhusu ku trade instruments(mfano gold, oil, bitcoins, stocks, currency) kama inavyokuwa kwenye forex, ila hii inafanyika kwenye platform inayoitwa MTFE.
Kwenye hii kitu kuna group lao, mtu anawatumia signal ya ku buy au ku sell na wao wanafanya tu na wanaingiza pesa ndefu tu maana mara nyingi signal ni sahihi.
Lakini instrument wanayo trade sana ni ECI. Hii ECI sijawahi kuiona popote kama ilivyo instruments nyingine kama gold, oil, na currency mbalimbali ambazo unaziona kwenye MT4 ya forex, na hili likanifanya nikawa na wasiwasi isijekuwa ni scam.
Vipi, kuna ambao wanaijua hii MTFE na hii ECI?
Hakuna mtandao wa maana Google unaoelezea hayoGoogle na youtube itakupa majibu yasiyopinda ingia humo
Kazi ninayo, hapa tunaongeza stream za vipato tuTafuta kazi ya kufanya kijana
Achana wenye akili za kijima mkuuKazi ninayo, hapa tunaongeza stream za vipato tu
Wakuu kwema?
Kuna jamaa yangu aliniambia kuhusu ku trade instruments(mfano gold, oil, bitcoins, stocks, currency) kama inavyokuwa kwenye forex, ila hii inafanyika kwenye platform inayoitwa MTFE.
Kwenye hii kitu kuna group lao, mtu anawatumia signal ya ku buy au ku sell na wao wanafanya tu na wanaingiza pesa ndefu tu maana mara nyingi signal ni sahihi.
Lakini instrument wanayo trade sana ni ECI. Hii ECI sijawahi kuiona popote kama ilivyo instruments nyingine kama gold, oil, na currency mbalimbali ambazo unaziona kwenye MT4 ya forex, na hili likanifanya nikawa na wasiwasi isijekuwa ni scam.
Vipi, kuna ambao wanaijua hii MTFE na hii ECI?
Kuwa akukopeshe ili muingie ,duu yani mpaka mbavu zinataka kuvunjika. Kuna mwingine aliambiwa kuwa achukue hela dukani wafuate mzigo Kuna hela Sasa jamaa akamwambia kuwa ngoja kwanza twende ili namie nione kwanza unavyopiga hela jamaa akasepaNgoja niwape njia fupi na yenye tija kuepukana na haya mambo.
Mtu anakuja kwako anakushawishi kwa nguvu zote kwamba kuna biashara au jambo fulani linalipa sana, analipamba na kulitetea kwa nguvu zote.
Usiteseke mwambie tu kwa ufupi akukopeshe fedha ili uingie kwenye hiyo fursa😂
Usumbufu utaishia hapo.
Mimi mwenyewe ni mdau....!Duh..
Hii umeitoa wapi mkuu? Link?
Wewe mdau kwa maana una trade kwenye hiyo platform?Mimi mwenyewe ni mdau....!
Nimeitoa kwa Wazungu huko, Wazungu sio wachoyo kama sisi ngozi Nyeusi.
Na trade kwenye Platform nyingine, ila baada ya kusoma Thread ya mdau, ikabidi niende kuhakiki Uhalali wa hii Platform ambayo mdau kaileza!Wewe mdau kwa maana una trade kwenye hiyo platform?