Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
-
- #21
Eti kuna index inaitwa ECI ndiyo ambayo inakua traded huko, hii index ina exist kweli?Na trade kwenye Platform nyingine, ila baada ya kusoma Thread ya mdau, ikabidi niende kuhakiki Uhalali wa hii Platform ambayo mdau kaileza!
Coz hata Platform ambayo na Trade pia nilifanya Uhakiki kabla.
Ipo.Eti kuna index inaitwa ECI ndiyo ambayo inakua traded huko, hii index ina exist kweli?
Nimeisaka mtandaoni mbona sijaiona?Ipo.
Inabidi uiulize source yako, kila mtu ana trade kutokana na Source yake....!Nimeisaka mtandaoni mbona sijaiona?
Tofauti na index nyingine kama NIKKEI, NASDAQ, FTSE, au Dow Jones, ukizishaka Google tu zinapatikana fasta
Source si ndio tayari inatiliwa mashaka mkuuInabidi uiulize source yako, kila mtu ana trade kutokana na Source yake....!
Platform zipo Nyingi......sijawahi ......!Source si ndio tayari inatiliwa mashaka mkuu
Mi nauliza kama umewahi kuiona maana ameniambia ipo