Anatoa ahadi kutekeleza hawezAdmin piga bann ya mwaka hii beberu haiwezekani ikimbie uzi na ahadi iliyo toa kizembe namna hii
Toa mln 1 hiyooooKama kuna yoyote aliyewahi kumuona Lil Ommy akiwa na nguo ya mikono mifupi. Anicheki nna zawadi yake ya sh million moja.
View attachment 2049711
Jamaa muongo Tu na kaukimbia Uzi[emoji23][emoji1787]Akupe mln 1 sasa aache blh blh
Ova
Nakataa, mtoa mada sio mwanaumeUnataka uchungulie nini kwa mwanaume mwenzio?
sinza pazuri Fanya huo mpunga uingie [emoji23][emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kumbe yuko dsm likizoAchaneni naye bana mtu mwenyew ndo katoka mashambani kaja Dar likizo.
Mkuu nipo lindo crdb leo usinisahau ata ganja ya buku 5 na rizla utanipitishia paleLeta mpunga
HeheheheHuyu bwana mdogo anajikutaga mjuaji na mtoto wa mjini ...ila ana ufala mwingi sana ....kaulizia mikono kaonyeshwa anakimbia ...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Atowe angalau 100000 au 50000 ampe jamaaHuyu bwana mdogo anajikutaga mjuaji na mtoto wa mjini ...ila ana ufala mwingi sana ....kaulizia mikono kaonyeshwa anakimbia ...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Tena atume haraka sanasana kabla hatujamfata huko alikoAtume fasta kabla weekend haijaisha
Hana uwezo huo ....maisha yake n ya kidananda ndo maana anajikuta Familia nzima ya WCB anaijua.Atowe angalau 100000 au 50000 ampe jamaa
Ova