Aliyewahi kumuona Lil Ommy na shati au tisheti ya mikono mifupi, kuna milioni moja yake aje achukue

Aliyewahi kumuona Lil Ommy na shati au tisheti ya mikono mifupi, kuna milioni moja yake aje achukue

Huyu bwana mdogo anajikutaga mjuaji na mtoto wa mjini ...ila ana ufala mwingi sana ....kaulizia mikono kaonyeshwa anakimbia ...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Atowe angalau 100000 au 50000 ampe jamaa

Ova
 
Back
Top Bottom