Wewe Dini yako nani alikuakikishia niyakweli?akapate anachostahili…
إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ وَمَاتُوا۟ وَهُمْ كُفَّارٌ أُو۟لَٰٓئِكَ عَلَيْهِمْ لَعْنَةُ ٱللَّهِ وَٱلْمَلَٰٓئِكَةِ وَٱلنَّاسِ أَجْمَعِينَ
Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote.
Amna kituPost namba 75 ingia umsikilize psrt 1 na 2. Na zipo clip nyingi mfuatilie mkuu.
Amna kitu
Anaijua Biblia na kuichambua Biblia akiongozwa na Roho Mtakatifu au na akili zake tu?Kwenye mihadhara ya dini uislamu na ukristo. Habibu othman mazinge, kiboko ya watumishi/wachungaji na mapadri. Aise uyu mbaba wanamhara, biblia yote ipo kichwani, anaijua na kuichambua.
Part 1
Part 2
Naongeza ya ziada
Kuna Mkristo mwenye akili timamu kama akina Fr Mbiku (RIP) anayeweza enda kwenye mijadala ya kubishana na hao akina Mazige?Hamna kitu apo [emoji23][emoji23][emoji23] kwanza wanaitafsiri maana tofauti bible.
Hebu msikilize adi mwisho profesa mazinge
Part 1
Part 2
Huyo kijana/mwandishi anaemuliza mazinge maswali ni mkristo.
Biblia Ni Nini?Usiongee usichokijua mkuu,, namba za mazinge amezitaja humo kwenye clip. Swali lolote ndani ya biblia waweza muliza na atakujibu bila kufunua.
Naomba pia upitie clip zake na masheikh wengine ndani ya debate
Biblia Ni Nini?
Kuna Mkristo mwenye akili timamu kama akina Fr Mbiku (RIP) anayeweza enda kwenye mijadala ya kubishana na hao akina Mazige?
KhaaaaaaHuyo Fr cha mtoto sana kwa Mazinge, acheni kumpamba. Uwezo huo wa kupambana na mazinge hana . Ndio mana serikali kama sikosei ya jpm walipiga marufuku midahalo maana waliona hali ni tete upande wa pili wasio waislamu wanasilimu na kuingia kwenyi uisilamu.
Khaaaaaa
KhaaaaaaUnashangaa chief, hudhuria midahalo yao upate kuujua ukweli,. Na utajionea mwenyewe jamaa zako wanahaha ile mbaya, na wafuasi wao wakijitokeza kusilimu.
wewe wacha kuropoka ropoka !Wewe Dini yako nani alikuakikishia niyakweli?
Kuliko za wenzako?
Malaika wa Bwana alikushukia na kukuambia kuwa yako ni yakweli kuliko za wenzako?
Kama unaamini maandiko yakitabu chako yanayokuambia yako ndio ya ukweli baki nayo yako kwa kuwa kitabu chako hakijakuambia uwatukane wengine
Kuwa na Nidhamu
yaani atukane mwingine niombe msamaha mimi ?Umepata dhambi kubwa ndugu Ingawa maneno ni ya kweli kwa sababu umesababisha maneno ya Allah watu wayatkane omba msamaha na utubie
sasa hapo nilichokosea ni kusema akapate anachostahiri ama ?Imani yako isiwe sababu ya kuona wengine hawako sawa. Upo huru kusema chochote lakini heshimu hisia za watu hasa kwenye msiba. Mwenda zake alikuwa mtu mwema na aliyefundisha sana juu ya upendo kwa Mungu na jirani. Sidhani kama dini yako inafundisha tofauti na hivo viwili ukichukulia kiujumla mafundisho yake.
upuuzi wa kusema akapate anachostahiri au upuuzi gani ?Umeanza upuuzi sasa