Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
Jamaa n hovyoMazinge yupi huyo mpiga kelele hivi unafahamu nivigumu kumuelimisha mwehu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa n hovyoMazinge yupi huyo mpiga kelele hivi unafahamu nivigumu kumuelimisha mwehu.
Swali nzuri au kilatiniM
Misa ya Kiingereza ataweza? Mazinge
Hahaaa.. ubongo WA mazinge unawaza kuoa na kubishana Yesi sio Mungu nje ya hapo hata kanzu sijui anabadilishaM
Misa ya Kiingereza ataweza? Mazinge. Plus content ya mwaka mzima. Mazinge anawezaorganise shule, hospital zijengwe?
M
Misa ya Kiingereza ataweza? Mazinge. Plus content ya mwaka mzima. Mazinge anawezaorganise shule, hospital zijengwe?
Mkuu mambo ya mjadala wa dini hii ni bora kuliko ile huwa sifuatiliagi. Why? Kila mmoja huwa anavutia upande wake na kwa kuwa mwanadamu Si mkamilifu Na siku zote Huwa anavuta/shawishi kwenye kile anachoakiamini yeye then ni bora nimwamini Mungu wangu kwa ule upeo wa akili yangu. Kila dini ina la kuhoji na Ku- criticizes just according to your understanding.
Mkuu,Mkuu, kwanza kabisa nikupe pole. Naomba umfuatilie Sheikh Mazinge na masheikh wengine kwenye mihadhara ya dini baina ya waislamu na wakristo, pia naomba ufuatilie youtube mihadhara yao, maelfu ya makafiri wamesilimu, tena kwa ridhaa yao na sio kwa kulazimishwa, baada ya kujua ukweli wenyewe. Huyu nae Mungu amuonyeshe njia aijue haki Kiranga
Mkuu,
Kutaja jina la Kiranga bila sababu muhimu faini ni $100 siku hizi.
Nakusamehe leo kwa sababu nakujulisha kwa mara ya kwanza.
Ukirudia kutakuwa na kesi kubwa hapa.
Kweli kabisa.kanisa tumepoteza walimu nguli...mahubiri yao na mfundisho tutayaenzi daima.Fr Mbiku tulikuwa chuo tunamuita engine,aliishi biblia na aliielewa sana alikuwa anasimamia ukweli,straight forward man.Mwaka huu tumepoteza walimu 2 wazuri wa Biblia, Fr Mbiku wa pale UDSM na Fr Raymond. Kwangu mimi hawa wataendelea kudumu kama walimu bora kabisa wa neno la Mungu na ambao hutamani muda wa mahubiri uishe. Kweli dunia tunapita na siku zetu za kuwa hapa ni chache sana. Na aheri mwenye mwisho mwema kwa maana ataishi milele kwenye furaha na faraja.
Mwenyezi Mungu atufundishe kuzihesabu siku zetu.
Yes.Fr Mbiku ni mmoja wapo( RIP)Hivi kuna mtumishi/ mchungaji au padri alieihifazi biblia nzima kichwani na kuichambua kama profesa mazinge!!!!
Umepata dhambi kubwa ndugu Ingawa maneno ni ya kweli kwa sababu umesababisha maneno ya Allah watu wayatkane omba msamaha na utubieakapate anachostahili…
إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ وَمَاتُوا۟ وَهُمْ كُفَّارٌ أُو۟لَٰٓئِكَ عَلَيْهِمْ لَعْنَةُ ٱللَّهِ وَٱلْمَلَٰٓئِكَةِ وَٱلنَّاسِ أَجْمَعِينَ
Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote.
Kwema tu.Mkuu nisamehe aise,, kwema lakini?
Kwema tu.
Mkuu, kwanza kabisa nikupe pole. Naomba umfuatilie Sheikh Mazinge na masheikh wengine kwenye mihadhara ya dini baina ya waislamu na wakristo, pia naomba ufuatilie youtube mihadhara yao, maelfu ya makafiri wamesilimu, tena kwa ridhaa yao na sio kwa kulazimishwa, baada ya kujua ukweli wenyewe.
Inawezekana wewe unavuta Bangi, Lakini kama nzima huwezi andika ujinga huo. Eti anachambua biblia ipi na ili iweje. Bila imani Hakuna awezaye kumpendeza Mungu.