TANZIA Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa TEC, Padre Raymond Saba afariki dunia

TANZIA Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa TEC, Padre Raymond Saba afariki dunia

R.I.P Padre. Ninaamini umeshakutana na yule mtesi wako baada ya tukio la ule waraka wa Kwaresma. Sijui Passport walikurudishia au ndiyo uliwaachia. Msamehe tu huko Motoni aliko kunamtosha kabisa.
Kitima fr.. namkubali hakupenda mateso ya FR SABA Kutoka Kwa the late mwendazake
 
Mmoja wa padri mzuri mwenye kuichambua biblia na kufundisha vizuri. Nakumbuka sana mahubiri yake pale Parokia ya Maria de Matias Mivumoni.
Kweli kabisa Mkuu..
Wana Mivumoni tutamkumbuka sana Fr Raymond Saba..
APUMZIKE KWA AMANI.
 
Back
Top Bottom