Aliekuwa Mbunge wa Mafia mh Abdulkarim Shah al maarufu Buji amefariki muda huu innalillah waina illah rajiunView attachment 1430500
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap! Ingekuwa nchi za wezetu alitakiwa Kuwait karanteen ila kwa Viongozi wa Bongo wanaamini ugonjwa ni was wananchi wao.Kwa hiyo inabidi waziri mkuu wetu ajiwahishe karantini mapema au sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
R.i.p mbunge mstaafu.Aliekuwa Mbunge wa Mafia mh Abdulkarim Shah al maarufu Buji amefariki muda huu innalillah waina illah rajiunView attachment 1430500
Sent using Jamii Forums mobile app
Uji wa mini tenaR.i.p mbunge mstaafu.
Kafa kipindi kibaya sanà watu hawafaidi hata uji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo siku ni lazima uende Kuwait kujikarantini?...alitakiwa Kuwait karanteen....
Huyo mke aliyeoa wiki mbili zilizopita?Ni shemeji yake, kaoa Dada yake waziri mkuu rostam
Kaoa dada yake waziri mkuu rostam. Tungo tata.Ni shemeji yake, kaoa Dada yake waziri mkuu rostam
Inna lillah wa inna ilahyi rajiunView attachment 1430550
Aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mafia kati ya mwaka 2005 hadi 2010 na amefariki dunia jioni ya leo Aprili 25, 2020 katika Hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar.
Akiwa mbunge, Shah alipata kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii na pia alikuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi ya Bunge.
Pole kwa wafiwaView attachment 1430550
Aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mafia kati ya mwaka 2005 hadi 2010 na amefariki dunia jioni ya leo Aprili 25, 2020 katika Hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar.
Akiwa mbunge, Shah alipata kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii na pia alikuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi ya Bunge.
Subiria uone mazishi yake yatakavyokuwa, utapata majibu yako
Mkoloni mamboleo