TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

View attachment 1430550

Aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mafia kati ya mwaka 2005 hadi 2010 na amefariki dunia jioni ya leo Aprili 25, 2020 katika Hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar.

Akiwa mbunge, Shah alipata kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii na pia alikuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi ya Bunge.

R.i.p abdulkarim
 
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
 
OMG!! RIP my Old Friend, and my former MP...
 
Sasa hivi vifo vingi vinahusishwa na COVID. Kuna wengi sana sasa wameamua kujiuguza home huku wakifuata ushauri wa Rais wa "kujifukiza". Wanaozidiwa zaidi wanaishia kufa na sisi kama kawaida tunasema ni" mipango ya Mungu/Allah". Transmission zinaendelea kwa wanafamilia, majirani na ndugu wa karibu....
 
Kwa Wale Wagumu wa kuelewa, hili ni swali na sio msimamo wala nini? Tarehe 16/04/2020 pichani PM akiwa na Marehemu, je wakawekwe karantini??

IMG-20200425-WA0139.jpg
 
Back
Top Bottom