TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

Rubawa,
R.I.P Burji,
Media nyingi zimepotosha kuwa alikuwa mbunge toka 2005-2010, sio kweli,
Burji alikuwa mbunge toka mwaka 2000,Kwa kweli alikuwa mtu mwenye roho nzuri na mkarimu kama jina lake, kwa mara ya kwanza alipokuwa anagombea ubunge mwaka 2000 nilimpa ushauri na Mikakati na alishinda KUWA MBUNGE MWAKA 2000.
 
Kazikwa na "watu wachache" leo asubuhi pale makaburi ya Kisutu
Unajua wakati wanaleta ubishi usio na maana, kwa taarifa nilizo nazo hata mdogo wake yupo kwenye hali mbaya (anaumwa), na hata watu wa karibu na Burji wanasema ni coronavirus!
 
Unajua wakati wanaleta ubishi usio na maana, kwa taarifa nilizo nazo hata mdogo wake yupo kwenye hali mbaya (anaumwa), na hata watu wa karibu na Burji wanasema ni coronavirus!

Inasikitisha Sana..
 
Back
Top Bottom