TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

Waambie waseme vizuri, labda waseme serikali nzima ilikuwepo maziko yake. Mziki mnene ule.
Wee bibi acha ubishi. Mzee kazikwa pale Kisutu leo saa tatu asubuhi na "watu wachache"
 
Kama ni hivyo basi hiyo ni akili ya ziyada. Maana wewe umebaki kulalamika lakini unashindwa kuchukuwa hatua yoyote, au hujuwi kuwa Tanzania watu wanapiga kura kuchagua mtu na siyo chama? Kwanini usimipigie kura ambae unataka awe kiongozi wako?

"Wadosi" wanawapigia wanaoona watawafaa kwa maslahi yao. Sasa wewe unapiga kura kwa maslahi ya nani? Fikiri.
Well Said
 
Back
Top Bottom