TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

Wewe si Mchagga mwenzio huyo tena ni mwenyekiti wako wa maisha?

Au hunanhabsti za mwenyekiti wako? Huelewi kuwa Corona Hana adabu ya vyama? Katinga mpaka Kwa mwenyekiti wa wachagga wa maisha.
Una mtindio wa ubongo si bure, hebu andika vizuri kwanza! Unakimbizwa na nani? Wachaga wammekukosea nini? Mara mchaga mwenzio mara Mwenyekiti wa wachaga wa maisha! Tulia, kama swaumu imekuzidia kunywa hata maji.

Au unakumbuka pesa yako uliyotapeliwa na kutapeli watu kule Vitendo Saccoss kwa kivuli cha dini? Taarifa zako ninazo!
 
Utabwabwaja na kuhororoja Sana. Yamekuingia.

Vipi mwenyekiti aliwekwa karantini?
 
Utabwabwaja na kuhororoja Sana. Yamekuingia.

Vipi mwenyekiti aliwekwa karantini?
Anayebwabwaja ni wewe, moja haikai, mbele inagoma tatu inatema! Tulia, Mwenyekiti amepona inshaallah, haya nambie na wewe Mwenyekiti wako anaendeleaje?
Naona swali la kutapeli watu huko vitendo Saccoss umejifanya hulioni. Faiza utakuja kuungua moto.
 
Sasa hivi hakuna CCM hakuna chadema, hakuna maziko ya kujazana kungoja pombe za bure au pilau la msibani.
Lakini kumbuka pamoja na ccm kuwa kimya hasa kina polepole kuhusu corona lkn ikifika october 2020 watarudi kwa wananchi wote kugawa bute kofia tshirt kanga pilau na pombe za kienyeji wkt sasa hivi wanashindwa kugawa sanitaiza na mask
 
Subiri uingoje kuhama, lakini wakati unasubiri elewa kuwa bendera ya Tanzania utaendelea kuiona kama ilivyo. Kumbuka hilo.
Kwani kwako binafsi bendera ina faida gani mpaka unaanza kuiabudu?
 
Kwani kwako binafsi bendera ina faida gani mpaka unaanza kuiabudu?
Nani aliyekudanganya bendera inaabudiwa?

Wewe hujuwi hata faida ya bendera, si wa kuharibu kulumbana na mimi, upo finyu sana.

Kwako haina faida sasa kwanini uwaingilie wenzako wanakufahamu faida yake?

Waulize chadema kwanini wana bendera yao?
 
Wewe si Mchagga mwenzio huyo tena ni mwenyekiti wako wa maisha?

Au huna habari za mwenyekiti wako? Huelewi kuwa Corona Hana adabu ya vyama? Katinga mpaka kwa mwenyekiti wa wachagga wa maisha.
Hivi we ajuza huwa unanusa ugoro? Endelea kujifungia mpuuzi wahed. Hii corona ni adui yako namba moja bado mdomo kama samaki.
 
Back
Top Bottom