mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Sio mdosi.kwao wana asili ya uarabu.namjua vizuri huyu mbunge alikuwa babaangu mdogo wa hiari.kanisaidia vitu vingi sanaa.nakumbuka aliniambia mwaka huu anataka kurudi kugombea ubunge tena. So sad nipo mbali na taarifa nimezipatia humu jf.apumzike mahali pema peponi mzee.
Mdosi au? Maana CCM ndio zao na wadosi , wanaotafuta maficho ya maovu yao kibiashara. Al in all RIP