TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

View attachment 1430550

Aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mafia kati ya mwaka 2005 hadi 2010 na amefariki dunia jioni ya leo Aprili 25, 2020 katika Hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar.

Akiwa mbunge, Shah alipata kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii na pia alikuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi ya Bunge.
Mdosi au? Maana CCM ndio zao na wadosi , wanaotafuta maficho ya maovu yao kibiashara. Al in all RIP
 
Site huyu ali dhambi ndege iliyo mpaka Lissu Nairobi daaa RIP
Kama ndiye muongee na mazuri yake
Soma kwa makini ulichoandika, halafu tukio la lisu ni 2017 huyu alikuwa mbunge 2005-2010
 
Nipo biharamulo, naomba mazishi yake myaweke mitandaoni kama mama wa mlima wa moto ili nijiongeze mwenyewe
Ngoma imeshaisha na jamaa watakuwa wanamalizia malizia shughuli pale Kisutu
 
Huyo ni Kamanda wa scout Tanzania, unawajuwa scouts ni nani?
Hayo ni mavazi rasmi ya scout Tanzania. Na hizo rangi za scarf ana badge aliyovaa ni rangi unazoziona kwenye bendera ya Tanzania. Kama huipendi bendera ya Tanzania hama nchi.
Tatizo hizi nguo za heshima kuna wakati ziliachwa bila control zikawa zinavaliwa na watu wa hovyo hovyo kama Mwigulu.....sasa ikitokea akavaa mtu wa heshima kama huyu marehemu watu wanadisgrade.
 
Tatizo hizi nguo za heshima kuna wakati ziliachwa bila control zikawa zinavaliwa na watu wa hovyo hovyo kama Mwigulu.....sasa ikitokea akavaa mtu wa heshima kama huyu marehemu watu wanadisgrade.
Mwigulu hajawahi kuvaa nguo za scout.

Mwigulu ni Mtanzania na alikuwa akifunga scarf ya bendera ya Tanzania na hajaacha kufanya hivyo.

Uhovyo wake nini?
 
Back
Top Bottom