onjwayo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 1,356
- 1,309
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Wale Wagumu wa kuelewa, hili ni swali na sio msimamo wala nini? Tarehe 16/04/2020 pichani PM akiwa na Marehemu, je wakawekwe karantini??
View attachment 1430617
Mara ya kwanza waliweka amevaa vazi la ccm,Moderate amebadilisha na kuweka ya scout baada ya watu kuchukia marangi ya kijaniHuyo ni Kamanda wa scout Tanzania, unawajuwa scouts ni nani?
Hayo ni mavazi rasmi ya scout Tanzania. Na hizo rangi za scarf ana badge aliyovaa ni rangi unazoziona kwenye bendera ya Tanzania. Kama huipendi bendera ya Tanzania hama nchi.
RIPView attachment 1430550
Aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mafia kati ya mwaka 2005 hadi 2010 na amefariki dunia jioni ya leo Aprili 25, 2020 katika Hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar.
Akiwa mbunge, Shah alipata kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii na pia alikuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi ya Bunge.
Unatumia sm gan mkuuYap! Ingekuwa nchi za wezetu alitakiwa Kuwait karanteen ila kwa Viongozi wa Bongo wanaamini ugonjwa ni was wananchi wao.
Hizi??Mara ya kwanza waliweka amevaa vazi la ccm,Moderate amebadilisha na kuweka ya scout baada ya watu kuchukia marangi ya kijani
na wewe unataka kufa au?
Walking the Talk. Waziri Mkuu akipractice "social distancing" kwa vitendo....🙂Kwa Wale Wagumu wa kuelewa, hili ni swali na sio msimamo wala nini? Tarehe 16/04/2020 pichani PM akiwa na Marehemu, je wakawekwe karantini??
View attachment 1430617
9 days back he was too healthy... RIP Mbunge wa zamani
Inamaana Magufuli angekuwepo tu Dar najua angejichanganya kupokea ile hundi. Dah kuwa Chattle ana maana kubwa. Na kwa jinsi haya yanavyoendelea kutokea ndo kutaendelea kumfanya avute vute muda kurejea mjini.
Confusion here, confusion there.. Huku koonaaaa kule tititititittiti basi ni vurugu mechi kila sehemu!