Kitulize mzee taharifa itakujia zaidi,isitoshe Si umeshaambiwa kafariki sasa wataka kujua nini zaidi, hata ukiambiwa utamfufua??Haya ndio madhara ya kukimbia kimbia kupost uonekane wa kwanza kujua
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipomtembelea Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Abbas Kandoro hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma, Aprili 25, 2018.
Legacy
Ukosoaji mwingine wahovyosana, kitugani hujaelewa hapo.Haya ndio madhara ya kukimbia kimbia kupost uonekane wa kwanza kujua
Hapana huyo ni Bw.Jordan RugimbanaNdio yule mkuu Wa mkoa Mara take ya mwisho katumbuliwa Dodoma? Kisa amekua? Kama ndio yeye atakuwa alpata inside pressure tu maana haya maisha ukizoea vzr afu suddenly ukastopishwa kama hukujpanga basi ttzo dogo tu linakusukma
Natanguliza samahan kama sio yy aliekuwa mkuu Wa mkoa Wa Dodoma forgive me pls