TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

Alipoteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar kazi yake ya kwanza ilikuwa ni kusambaratisha uwanja wa Fisi
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipomtembelea Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Abbas Kandoro hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma, Aprili 25, 2018.

Mungu aipe faraja familia yake, jamaa na ndugu pamoja na taifa na ampumzishe kwa amani, amina.
 
Ndio yule mkuu Wa mkoa Mara take ya mwisho katumbuliwa Dodoma? Kisa amekua? Kama ndio yeye atakuwa alpata inside pressure tu maana haya maisha ukizoea vzr afu suddenly ukastopishwa kama hukujpanga basi ttzo dogo tu linakusukma
Natanguliza samahan kama sio yy aliekuwa mkuu Wa mkoa Wa Dodoma forgive me pls
 
R. I. P kandoro, MUNGU awape moyo wa subira familia ya marehem.
 
Ndio yule mkuu Wa mkoa Mara take ya mwisho katumbuliwa Dodoma? Kisa amekua? Kama ndio yeye atakuwa alpata inside pressure tu maana haya maisha ukizoea vzr afu suddenly ukastopishwa kama hukujpanga basi ttzo dogo tu linakusukma
Natanguliza samahan kama sio yy aliekuwa mkuu Wa mkoa Wa Dodoma forgive me pls
Hapana huyo ni Bw.Jordan Rugimbana
 
Back
Top Bottom